Usipende kununua magari yaliyotumika Tanzania

Usipende kununua magari yaliyotumika Tanzania

Gari kutembea inahitaji mafuta tuu..
Kulipia 700k kwa mafuta ni sawa.. Kitu certain.. Uhakika.. Probability 1..bila mafuta gari haiendi..
Ila Bima sababu ya kucover ajali sio kitu cha uhakika.. Inaweza kutokea na inaweza isitokee.. Why utumie 700k kwenye kitu cha probability..!!?
Unabet na stake ya 700k!

Nyingi ni zaidi ya 1..
Bima ya gari ikifika 200k ni nyingi..
Lipa 118k kwa ajili ya kutembea barabarani..

Gari yako usitegemee mtu mwingine kuitengeneza..!
Weka mtazamo huo..!
Gari ni yako boss upo huru kufanya lolote boss.
 
Hahahahahah jamaa kauziwa corrolla ltd ya 1.8M imemtesa anakuja kusumbua watu humu na story za kutunga [emoji1787][emoji1787][emoji1787]!

Ukipata mfano gari la m5 hapo andaa m3 nyingine kwa ajili ya kuliweka Sawa barabarani.
 
Same to me..nilinunua gari kwa mtu mpk leo ni mwaka wa pili haijawahi kunisumbua

Sema mkuu tupo kundi la wale wenye bahati[emoji23]
Hata Mimi nimenunua toka kwa mtu ni mwaka wa pili, kwanza Muuzaji alikuwa na jeuri alinipa gari wiki nzima nitest ninavyotaka kama kuna tatizo lolote nirudishe hata nilipomlipa hela akasema nakupa miezi mitatu tena kama linatatizo nirudishie, wapo watu wanatunza magari mpaka unashangaa huyu mtu alikuwa anaendeshaje gari lake.
 
Hii nakupa tu ushauri wewe unayetaka kumiliki gari lako na lisikupe mawazo ya kuonana na mafundi Kila siku.

Asilimia 85 ya magari used Tanzania mmliki huuza kwa Sababu gari linamsumbua, asilimia.

Asilimia 10 tu huuza gari kwa Sababu ya changamoto za kimaisha.

Asilimia 5 tu ndiyo huuza gari Ili wanunue gari lingine.

Mbaya zaidi mbongo kusema ukwel ni dhambi kubwa kwake atakwambia hii gari ni kuwasha na kuondoka kumbe yeye anajua shida Iko wap hakwambii.

Ukifika huko unashangaa gar inamatatizo kibao

Nashauri ingiza gar Toka nje kidogo zinakuwa nzima japo ni used, usiogope ushuru kwa Sasa unalipika siyo kuhangaika na gari lililomshinda mwenzako.

Madalali watakuja hapa kupinga huu utafiti wangu lakini mimi Big thinker nimetimiza jukumu langu usije sema sikukwambia
Nakubaliana nawe, kilichonikuta kwenye hii gari ninayotumia sasa najua mwenyewe.
 
Nilinunua IST mkononi mwa mtu toka Jan last year, nimebadili vitu vichache kama break pads, shockup na aircleaner tuu. Imeshakaguliwa gereji mbili tofauti na fundi mwingine mtaani wote wanasema gari haina shida yoyote. Ikifika km laki mbili nitauza. Mambo yakiwa vizuri nitaagiza crown athlete nazipenda balaa
 
Nilinunua IST mkononi mwa mtu toka Jan last year, nimebadili vitu vichache kama break pads, shockup na aircleaner tuu. Imeshakaguliwa gereji mbili tofauti na fundi mwingine mtaani wote wanasema gari haina shida yoyote. Ikifika km laki mbili nitauza. Mambo yakiwa vizuri nitaagiza crown athlete nazipenda balaa
Crown athlete unaipendea nn??
Kwa hz barabara zetu za mitaan hapa bongo siwez kununua sedan vehicle hata sku moja. Yaan bongo ukiacha tu bara bara kuu tayari unakutana na barabara ina makorongo knoma
 
Crown athlete unaipendea nn??
Kwa hz barabara zetu za mitaan hapa bongo siwez kununua sedan vehicle hata sku moja. Yaan bongo ukiacha tu bara bara kuu tayari unakutana na barabara ina makorongo knoma

Comfortability +Luxury +performance at cheap price
 
Mimi nadhani mtu nunua gari unalolijua. Ukishindwa sana nunua kwa mwenye tatizo la kifedha mfano mikopo, fedha ya matibabu au ada ya shule/chuo.

Ukishindwa sana nenda car wash au Bar utapata tu chuma nzuri
 
Mungu anisamehe nilikua na Rav 4 kimeo hatari
Nikamuuzi mwalimu mmoja aisee hadi roho ikawa inaniuma jinsi gari ilivyokua inamsumbua

Ilibidi nimsaidie kuuza kwa jamaa mwingine mwanza huko nikamshauri aagize tu moja kwamoja

Hadi leo kawa mshkaji wangu sana
 
Back
Top Bottom