Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo mmoja nilimwambia nikufungulie gereji ndogo ya magari na nitaleta mtu ujifunze kutoka kwake. Akanambia dah hiyo siiwezi. Baadae naambiwa ameajiriwa kiwanda cha maji katoni moja ya upakiaji sijui shilingi 40.Mwishowe kachemka anang'ang'ania remote na wanangu.Mimi nina watu kama hao nyuma yangu,hivyo nimeamua kukaa kimya tu kuwacheck,..
Mkuu nimejaribu kuzungumzia hawa ambao niko nao karibu kwa maana nimejaribu kuwapa koneksheni lakini bure kabisaKuwasema peke hatuwajenge tuwawezeshe tuwape connection, ni swala la muda tu watajua kuwa life ipo serious kuliko wanavyodhani
Hahahaha,Dogo mmoja nilimwambia nikufungulie gereji ndogo ya magari na nitaleta mtu ujifunze kutoka kwake. Akanambia dah hiyo siiwezi. Baadae naambiwa ameajiriwa kiwanda cha maji katoni moja ya upakiaji sijui shilingi 40.Mwishowe kachemka anang'ang'ania remote na wanangu.
Mkuu usipaniki bali jifunze kitu hapa.Ndiyo maana nilimuambia dada akae pembeni suala la kutafuta mme mimi nitalishughulikia mpaka apate mme bora .
Ila hawa masikini ndiyo hawa wanakuja kututukana hapa jamvini kisa washalala na dada zetu .
Damn
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Kabisa....Kuna jamaa aliingia kwenye uraibu kisa mkewe anampa stress kupindukia tena anamtia aibu.Mwanamke hata Kama haumpi hela fahamu tu kuna uwezekano mkubwa akawa tatizo la wewe kutoboa maana mafanikio huwa yanahitaji utulivu mkubwa Wa akili na hisia sasa ukiwa na mwanamke anakucheat basi tayari umeshaua kiungo muhimu katika safari yako ya maisha
Suala la fedha watu wanalichukulia poa.....lakini ni sayansi ngumu sana.Nilifungua Uzi nikitaraji kupata nondo za kutosha kuhusu nidham ya matumizi ya pesa, kumbe ni mambo mepesimepesi tu ya kifamilia[emoji849][emoji849]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu usipuuze haya niliyoyaandika siyo maigizo na nimeona athari kwa hao case study wangu maana hazipiti siku 15 lazima wanipige mzinga na kama sina wanafungua mafaili ya ulalamishi "brother mkuda, shemeji siku hizi mnoko"Asante kwa kunipa moyo kaka uliyoyaandika nimepractice ndani ya miaka 5 mfululizo na naona dalili nzuri sana nimepiga hatua ngoja niendeleze nidhamu
Mkuu nitafutie mimi sitaleta dharauMtu alikuwa jobless unamtafutia kazi analeta dharau
Haya mambo madogo madogo (petty issues) ndo yanatupa umaskini.Nilifungua Uzi nikitaraji kupata nondo za kutosha kuhusu nidham ya matumizi ya pesa, kumbe ni mambo mepesimepesi tu ya kifamilia[emoji849][emoji849]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Dada yangu ni slayqueen , dada yangu ni wale wadada hawawezi kukushauri wewe mwanaume juu ya maendeleo ila anahitaji upigane ulete mkate mezani .Mkuu usipaniki bali jifunze kitu hapa.
Kumbuka mwanzoni kabisa nilitahadharisha kuwa sina lengo baya bali dhamira yangu ni wadogo zetu wajifunze. Zaidi ya hapo dada ako akiolewa na maskini anaejitambua, akaukataa umaskini kwa kuchapa kazi basi ataishi raha mustarehe. Ubarikiwe mkuu.
Halafu kwa nini ushughulike na swala la kutafuta mume wa dada ako mkuu?[emoji120][emoji120][emoji120]
Yote hayo nimeepuka nasubiri nione kama nitatoboa japo matunda mazuri nimeyapata kiasi fulani
Inshaallah
SawaAsilimia 80+ mabroo zako wamefanikiwa kupitia hivyo japo nimeandika kwa uchache
Hao unaowaona mabroo kuna sehemu wakifika nao wanaonekana madogo tu, nazani umenielewaMabroo wote mmefanikiwa kwa kupitia hizo principles?