Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Ndo wanaume tulivyo. Mwanamke usipokuwa makini watu wanaku test kidogo. Anakuja mtu anakukumbatia kuwa amekumiss siku mbili tatu hajakuona. Ukikumbatiana naye anashika kiuno.
Kesho anakukiss shavuni ...unasema "bwana sitakiii usifanye ivooooo shauri yako..." Anacheka anaondoka.
Keshokutwa anakwambia ... "Una macho mazuri ya kurembua shem anafaidi. Unamwambia aaah ondoka hapa kufaidi huko kwiyoo"
Utapapaswa kushoto, utapapaswa kulia, utapapaswa mbele, utapapaswa nyuma. Utapapaswa juu, utapapaswa chini. Watu wanajilia tu wanaondoka wanapasiana.
Watu wanatingisha kiberiti kwanza kuangalia kama kimejaa au vipi halafu wanafanya kitu.ukija shtuka ushaliwa sana. Na unaweza usishtuke...wanakupa tu mitoko. Ya hapa na pale. Huku na kule. Huku unaliwa.
Ndo siku zote ilivyo. Hapo watakusifu sana. Una jicho zuri, una sauti nzuri,unapendeza, una... Una.... Yaani ili mradi wakule tu. Utapapaswa weeeeee.... Utapapaswa hasa.
Ndo hali ilivyo kwa sasa. Watu wanapapasa wanachukua chao.... Wanampa mitoko anatoka ...huku nyuma tena wanampapasa. Basi siku zinaenda. mwanamke inabidi awe mkali ama sivyo watoto watakufa kwa njaa.mama anapuyanga tu huku na kule. Wanaume sisi wabaya ...basi tu.