Usipokuwa makini Utapapaswa sana. Kila mtu atakupapasa. Watu wanajaribu wakiona hupingi kwa dhati wanaendelea

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Ndo wanaume tulivyo. Mwanamke usipokuwa makini watu wanaku test kidogo. Anakuja mtu anakukumbatia kuwa amekumiss siku mbili tatu hajakuona. Ukikumbatiana naye anashika kiuno.

Kesho anakukiss shavuni ...unasema "bwana sitakiii usifanye ivooooo shauri yako..." Anacheka anaondoka.

Keshokutwa anakwambia ... "Una macho mazuri ya kurembua shem anafaidi. Unamwambia aaah ondoka hapa kufaidi huko kwiyoo"

Utapapaswa kushoto, utapapaswa kulia, utapapaswa mbele, utapapaswa nyuma. Utapapaswa juu, utapapaswa chini. Watu wanajilia tu wanaondoka wanapasiana.

Watu wanatingisha kiberiti kwanza kuangalia kama kimejaa au vipi halafu wanafanya kitu.ukija shtuka ushaliwa sana. Na unaweza usishtuke...wanakupa tu mitoko. Ya hapa na pale. Huku na kule. Huku unaliwa.

Ndo siku zote ilivyo. Hapo watakusifu sana. Una jicho zuri, una sauti nzuri,unapendeza, una... Una.... Yaani ili mradi wakule tu. Utapapaswa weeeeee.... Utapapaswa hasa.

Ndo hali ilivyo kwa sasa. Watu wanapapasa wanachukua chao.... Wanampa mitoko anatoka ...huku nyuma tena wanampapasa. Basi siku zinaenda. mwanamke inabidi awe mkali ama sivyo watoto watakufa kwa njaa.mama anapuyanga tu huku na kule. Wanaume sisi wabaya ...basi tu.
 
Ndiyo wanavyofanya kwenye uchaguzi. Wanaiba za wenyeviti wa mitaa, wakiona hamfanyi chochote wanaiba za uchaguzi mkuu. Msipofanya kitu, wanawakataza kufanya mikutano. Mwisho wa siku watawaban mazima.
 
Ndo wanaume tulivyo. Mwanamke usipokuwa makini watu wanaku test kidogo. Anakuja mtu anakukumbatia kuwa amekumiss siku mbili tatu hajakuona. Ukikumbatiana naye anashika kiuno.

Kesho anakukiss shavuni ...unasema "bwana sitakiii usifanye ivooooo shauri yako..." Anacheka anaondoka.

Keshokutwa anakwambia ... "Una macho mazuri ya kurembua shem anafaidi. Unamwambia aaah ondoka hapa kufaidi huko kwiyoo"

Utapapaswa kushoto, utapapaswa kulia, utapapaswa mbele, utapapaswa nyuma. Utapapaswa juu, utapapaswa chini. Watu wanajilia tu wanaondoka wanapasiana.

Watu wanatingisha kiberiti kwanza kuangalia kama kimejaa au vipi halafu wanafanya kitu.ukija shtuka ushaliwa sana. Na unaweza usishtuke...wanakupa tu mitoko. Ya hapa na pale. Huku na kule. Huku unaliwa.

Ndo siku zote ilivyo. Hapo watakusifu sana. Una jicho zuri, una sauti nzuri,unapendeza, una... Una.... Yaani ili mradi wakule tu. Utapapaswa weeeeee.... Utapapaswa hasa. Ndo hali ilivyo kwa sasa.
FB_IMG_16276656585631018.jpg

Yaani[emoji848] nikupapasaa kupapasaa noma. Ewe dada chonde chonde usikubali kupapaswaa
 
Yote unayoongea inawezekana hata hela yalodge huna,
sasa huyo mwanamke utampataje tafuta hela kwanza.
 
Tulia kidogo, soma mara mbili tatu labda utamuelewa.
 
Hayo yenu watoto, sie watu wazima tunakwenda straight to the point, tunamalizana. Hivyo tu yaani.
 
Back
Top Bottom