Richard spencer
JF-Expert Member
- Feb 22, 2021
- 1,225
- 1,993
Unaniuliza mimi tena? Wewe ndio ulitakiwa useme hizo nchi zenye uraia pacha wamepata nini tofauti na sisi ambao hatuna.Unajua, swali lako wala sihitaji kulijibu, kwa sababu wewe unataka kutuambia kwamba hizi ncho zote zilizoruhusu uraia zimefanya hivyo kiupofu bila kutambua kwamba hakuna faida ya uraia pacha. Hebu angalia tena hii ramani na jiulize nini wanachoona wao ambacho sisi hatuoni?
View attachment 2382456
Orodha ni ndefu sana, na imo humu somewhere. Soma thread na posts. Lakini sometimes, ikitokea hapa duniani watu wote wakaacha kuvaa viatu vya raizon na suruali za bugaluu lakini wewe ukaendelea kuvivaa kwa sababu unaona kuna ubora katika kuvaa raizoni na bugaluu, wewe ndio kituko duniani!Unaniuliza mimi tena? Wewe ndio ulitakiwa useme hizo nchi zenye uraia pacha wamepata nini tofauti na sisi ambao hatuna.
unaongea mambo ya kufikirika unaacha uhalisia.Orodha ni ndefu sana, na imo humu somewhere. Soma thread na posts. Lakini sometimes, ikitokea hapa duniani watu wote wakaacha kuvaa viatu vya raizon na suruali za bugaluu lakini wewe ukaendelea kuvivaa kwa sababu unaona kuna ubora katika kuvaa raizoni na bugaluu, wewe ndio kituko duniani!
Unajua nini, unaweza kusema nilisafiri toka Dar hadi Morogoro kwa bodaboda, sasa kuna tatizo gani kwamba sikutumia basi?Nchi nyingi za Asia zimepiga marufuku Uraia pacha na kiuchumi zipo vizuri sasa sijui hapo utasemaje.
mfano wako wa bugaluu na raizon sijaelewa unataka kusema nini.
Akikujibu tag me please.Hayo mafisadi ya Ccm yanayoficha fedha huko Uswizi yana uraia pacha ?
Tunaita upumbavu.Unajua nini, unaweza kusema nilisafiri toka Dar hadi Morogoro kwa bodaboda, sasa kuna tatizo gani kwamba sikutumia basi?
Sasa hiyo tunaita constrained thinking capacity
Uraia pacha unafaa Afrika kutokana na historia zetu za muingiliano wa makabila. Wamasai wako Kenya na Tanzani, wamakonde Msumbiji na Tanzania etcUraia pacha kwa Tanzania naona Kama ujinga tu uraia pacha unawafaa wazungu,wahindi na waarabu na wachina kwa sababu wana faida kwenye zao kiuchumi na kibiashara wakiwa Nchi sio zao
Mfano mhindi wa Tanzania ndio importer mkubwa wa bidhaa za India kuleta Tanzania
Mwarabu pia ndie importer mkubwa wa bidhaa za Uarabuni Kama mafuta nk kuleta Tanzania
Mchina vivyo hivyo
Diaspora wa kwetu wa nini kikubwa wanacho import kwenye Nchi zao waliko watafute masoko huko?
Uraia pacha kwa watanzania hawana maana yeyote ninkujaza tu mipassport tu kwenye kabati
Diaspora wetu was kitanzania Ni choka mbaya
Mhindi,mwarabu na mchina diaspora yeye huwaza tu namna ya kuleta bidhaa toka nchini kwake kwenye country of origin kuuza aliko tofauti na midiaspora mitanzania .Ni kelele tu ohhh tunataka uraia pacha kwa kipi Cha maana walichonacho wanachosaidia Nchi?
Nataka kusema hivi, ikiwa leo hapa duniani watu wote wataamua kukata masikio wasiwe nayo, wewe peke yako ukagoma kukata masikio yako, kuanzia siku hiyo wewe ndio utakuwa mlemavu wa masikio na wengine wote waliokata masikio ndio wana masikio sawa bila ulemavu!mfano wako wa bugaluu na raizon sijaelewa unataka kusema nini.
Kwa nini uraia pacha?Hulitaki wewe, na sisi tunalitaka. Kwa hiyo tufanyeje sasa?
Uraia wa kuandikishwa unafutwa wakati wowoteHili la aliloeleza la kufuatiwa Uraia inabidi aliongezee nyama. Ni kwa sheria ipi au ibara ipi ya katiba inatoa rukhsa ya kufuta Uraia wa kuandikishwa.
Hebu fafanua unafaa kivipi?Uraia pacha unafaa Afrika kutokana na historia zetu za muingiliano wa makabila. Wamasai wako Kenya na Tanzani, wamakonde Msumbiji na Tanzania etc
Hakuna faida yote zaidi ya opportunist wa hache ambao watataka kufaidika kiuchumi?Unajua, swali lako wala sihitaji kulijibu, kwa sababu wewe unataka kutuambia kwamba hizi ncho zote zilizoruhusu uraia zimefanya hivyo kiupofu bila kutambua kwamba hakuna faida ya uraia pacha. Hebu angalia tena hii ramani na jiulize nini wanachoona wao ambacho sisi hatuoni?
View attachment 2382456
Wewe endelea kulala na akili yako sijui ya wapi hiyo, nilipita Columbus Ohio nikakuta Michele wa mbeya nikaambiya Kuna mbongo ndio ana import, acheni kujidharauUraia pacha kwa Tanzania naona Kama ujinga tu uraia pacha unawafaa wazungu,wahindi na waarabu na wachina kwa sababu wana faida kwenye zao kiuchumi na kibiashara wakiwa Nchi sio zao
Mfano mhindi wa Tanzania ndio importer mkubwa wa bidhaa za India kuleta Tanzania
Mwarabu pia ndie importer mkubwa wa bidhaa za Uarabuni Kama mafuta nk kuleta Tanzania
Mchina vivyo hivyo
Diaspora wa kwetu wa nini kikubwa wanacho import kwenye Nchi zao waliko watafute masoko huko?
Uraia pacha kwa watanzania hawana maana yeyote ninkujaza tu mipassport tu kwenye kabati
Diaspora wetu was kitanzania Ni choka mbaya
Mhindi,mwarabu na mchina diaspora yeye huwaza tu namna ya kuleta bidhaa toka nchini kwake kwenye country of origin kuuza aliko tofauti na midiaspora mitanzania .Ni kelele tu ohhh tunataka uraia pacha kwa kipi Cha maana walichonacho wanachosaidia Nchi?
Huyo mmoja katika watanzania maelfu walio njeWewe endelea kulala na akili yako sijui ya wapi hiyo, nilipita Columbus Ohio nikakuta Michele wa mbeya nikaambiya Kuna mbongo ndio ana import, acheni kujidharau
Wako wengi sasa wanajaribu, nawajua wengi tuu wanafanya biashara na wanafanikiwa,mambo yanabadilika na hao ndio wataleta capital na utaalamHuyo mmoja katika watanzania maelfu walio nje
Wengi kazi yao wakiwa nje ni kutufanya tu soko.la mitumba yao bidhaa za nchi wanayonunua huko nchi waliko
Tofauti na wahindi,waarabu na wazungu na wachina walioko Tanzania ambao huwa na faida kubwa nchi zao kwa kununua vitu kwao nchi walizotoka na kuvileta Tanzania kuuza