mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Hata kama nimeshamuoa, ampeleke kwa baba yake.Kitanda akizai haramu, kama mpo ndani ya ndoa ni mtoto wako halali hata kama umebambikiwa ila kama bado haujamuoa mwambie ampeleke kwa Baba yake
Sasa si mpaka akukubali? Akikutaa je? Usikariri.Akikua unajilipa tu.
Wewe ni mwehu! Na kama ni mfanyakazi basi ni hasara kwa taifa. Huna miiko na maadili bora ya kazi.Kama umezaliwa Africa ardhi ya Mtu mweusi lazima utahasirika na tamaduni zetu maana tuko tayari kukupa hata taarifa za Uongo juu ya DNA ili kulinda haki za Watoto . Kwa ufupi Mtoto anayeaminika ni wetu ni aliyezaliwa na Dada maana Dada abambikiwi Mwana .
Hekima ya Afrika ni Pevu sana .Kitanda hakizai Haramu waliotoa huu Msemo walifikiri zaidi kuliko DNA.
Wewe ndiyo upuuzwe!Hii post ni ya kichochezi ,,ipuuzwe..
DuhNiliwahi bambikiziwa mtoto kwa miaka karibu mitano toka anazaliwa, na mtoto alikuwa na cicle cell na kipindi hicho sikuwa kazi yoyote ya maana.
Sitosahau baada ya kugundua sikudai chochote wala kulipiza. Ila wanawake muda fulani basi tu.
Mtu akiwa mkali kwenye ukweli ni tatizo.Hapa ni Africa huku Kwetu kitanda hakizai Haramu.Wewe ni mwehu! Na kama ni mfanyakazi basi ni hasara kwa taifa. Huna miiko na maadili bora ya kazi.
Nani kakudanganya DNA inapimwa TZ pekee? Nani kakudanganya DNA za kizungu ni uthibitisho tosha wa kuwa mtoto ni wako au si wako?
Nikiamua kujua ukweli kuhusu mtoto wangu nitajua tu! Sina hata haja ya hizo DNA zenu.
Unakosea sana ndugu!Mtu akiwa mkali kwenye ukweli ni tatizo.Hapa ni Africa huku Kwetu kitanda hakizai Haramu.
Unakosea nini sasa au unafanya kazi kwa MDNA aaakaaa ?Unakosea sana ndugu!
Leo Watoto acha kusingizia aaahaaàUnakosea sana ndugu!
Usibe yakukute
Na wwe Kama ulikula mbususu yake bila shida, wwe lea tu hakuna shida mradi ukweli unao moyoni mwako!!Kuna mtoto wa kike nimebambikwa hapa juzi tu, ikabidi nifike kumwona na watu wote nilioongozana nao wanashuhudia kanifanana.... cha ajabu hadi ndugu zangu na mjomba mmoja anaingia kingi eti alama za mikono ni zetu!
Mimi namba zooote zinagoma kuanzia mimba hadi kuzaliwa kwake, ndugu zangu wameshaingia kimiani... nimebaki nawachora tu ila sijafanya maamuzi.
Kuna nafsi inaniambia nimkubali tu huyu mtoto ili nimlee, haitonigharimu kitu.... ila ni hadi huyu mama yake anyooshe maelezo kuwa sio mtoto wangu ila anahitaji msaada wa malezi tu.
Akikubali, nitamlea huyu binti kama ndugu mwingine yeyote.
DNA wanaogopa kujaza watoto wa mtaani naona wanaona heri ubandikwe tu ,labda upime ndani na njeacha kuongea sana .kipimo kikubwa mfate shangazi yako.ndio DNA tosha ya majibu.
kwani neno "shangazi sawa na mchawi " kwa nini wanawake wanawagopa mashangazi.
Tanzania wanazingua Sana hawatoi majibu ya kweliWewe ni mwehu! Na kama ni mfanyakazi basi ni hasara kwa taifa. Huna miiko na maadili bora ya kazi.
Nani kakudanganya DNA inapimwa TZ pekee? Nani kakudanganya DNA za kizungu ni uthibitisho tosha wa kuwa mtoto ni wako au si wako?
Nikiamua kujua ukweli kuhusu mtoto wangu nitajua tu! Sina hata haja ya hizo DNA zenu.
Wakitoa ya kweli watoto wa mtaani wataongezekaTanzania wanazingua Sana hawatoi majibu ya kweli
Sio nilee watoto, bali nilee watoto WANGU wa kuwazaa!Leo Watoto acha kusingizia aaahaaà
Haisaidii kitu kuchunguza chunguza kama mtoto ni wako ama la. Tunza watoto wote kwenye ndoa. Kisa Cha kujitafutia kifo cha mapema ni nini, hebu fikiria umemlea mtoto tangu akiwa kichanga mpaka anafika miaka 20 halafu ujue sio wako.... Mtoto ni mtoto