Usipuuze taarifa yoyote inayohusu kuwa umebambikiziwa Mtoto

Usipuuze taarifa yoyote inayohusu kuwa umebambikiziwa Mtoto

Mkuu mwandende kuna uzi flani ulikoment nilicheka sana yani wee jamaa. Eti ikija kugegeda sijui kwa mashemeji, shangazi, mamdogo mamkubwa na binadamu huna huruma wewe unagonga tu.
[emoji23][emoji23]
 
Kweli kabisa.

Hawazingatii ukweli na uadilifu.

Hawana code of ethics labda.

Eti wanauliza kati yenu wanaume nani anaishi na mwanamke na hiyo Mtoto ukisema mimi basi majibu yatatoka wewe ndiwe mwenye mtoto [emoji108]
Wapimaji hawatakiwi kujua historia yenu,wao wa deal na vipimo tu,tena hata majina ya wenye sampuli hawatakiwi kuyajua ili kuepusha mgongano wa kimaslahi!!
 
Wapimaji hawatakiwi kujua historia yenu,wao wa deal na vipimo tu,tena hata majina ya wenye sampuli hawatakiwi kuyajua ili kuepusha mgongano wa kimaslahi!!



Kweli kabisa,

Inabidi wabadilishe namna yao ya utendaji kazi.

Mbona nchi nyingine wamenyooka katika kusema ukweli?

Kwanini hawa wanafanya kazi kienyeji enyeji?

Wanajua athari za Mwanaume kubambikiwa mtoto ambae sio wake?

Wanajua kuwa ina - costs implications?

Unamuingiza Mwanaume Kwenye gharama ya malezi na kusomesha mtoto ambae siyo wake si upotoshaji mkubwa huo?

Kwanini wasiamue kusimama kwenye ukweli?

Kwanini wasifanye kazi kwa kuzingatia miiko na maadili mema?
 
Hivi kuna regulatory body au auditing huwa inafanyika kupima utendaji kazi wao?

Je wana-report kwa nani?

CEO wao anapatikanaje?

Ofisi zao ziko located wapi ?

Utaratibu wa kuwafikia ukoje?
 
Back
Top Bottom