[emoji23][emoji23]Mkuu mwandende kuna uzi flani ulikoment nilicheka sana yani wee jamaa. Eti ikija kugegeda sijui kwa mashemeji, shangazi, mamdogo mamkubwa na binadamu huna huruma wewe unagonga tu.
Wapimaji hawatakiwi kujua historia yenu,wao wa deal na vipimo tu,tena hata majina ya wenye sampuli hawatakiwi kuyajua ili kuepusha mgongano wa kimaslahi!!Kweli kabisa.
Hawazingatii ukweli na uadilifu.
Hawana code of ethics labda.
Eti wanauliza kati yenu wanaume nani anaishi na mwanamke na hiyo Mtoto ukisema mimi basi majibu yatatoka wewe ndiwe mwenye mtoto [emoji108]
Wapimaji hawatakiwi kujua historia yenu,wao wa deal na vipimo tu,tena hata majina ya wenye sampuli hawatakiwi kuyajua ili kuepusha mgongano wa kimaslahi!!
Mimi bado undertwenty sitaki kuharibu ujana wangu kizembe.Kijana wa Allah nawe yamekukuta?
Kama mmezaliwa wote wa kiume?Acha kuongea sana. Kipimo kikubwa mfuate shangazi yako. Ndío DNA tosha ya majibu.
Kwani neno "shangazi sawa na mchawi" kwa nini wanawake wanawagopa mashangazi.