THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Friends and Our Ugly Enemies,
People like Ndugai,hata wakitokea wakafanya jambo lenye tija,hawawez Tena kuaminika na mtanzania yyte mwenye akil timamu,it's unfortunate ndo hivyo ameshakuwa speaker wa bunge lakin hakika ni disgrace to our parliament na nchi kwa ujumla,
Just imagine speaker wa bunge anashikia Bango kabisa eti atake asitake tutamuongezea muda,sasa Kuna mtu hapo,ni jitu la kupuuza tuh,
President Magufuli siku zote kwenye hadhara zake alikua anasema nchi hii ipo vizur,nchi hii ni tajir,na kwamba asilimia kubwa ya miradi inayoendelea ni kwa kutumia fedha zetu za ndan,hizo ndege tunanunua kwa fedha za ndan Tena cash,na kwa maana hiyo watz tutembee kifua mbele...
Magufuli hakujua kuwa hakuna marefu yasiyo na ncha na kwamba uongo wote ule basi una mwisho wake,baada ya kifo chake ndipo tunakuja kuujua uhalisia kuwa hii miradi mingi fedha zake siyo kweli kuwa ni za ndan,Bali ni fedha za mikopo Tena Mikubwa yenye riba kubwa pia,
Mama Samia,hawez kuendelea kuzubaa na kutupa lawama kwa mtanguliz wake kuwa alisema uongo na kwamba fedha zilikua siyo za ndan,hawez kusema hivyo, yeye kama msaidiz wake alikua anajua ukweli,asingeweza kufanya chochote,
Kwa kauli yake kuhusu kukopa mama Samia anachosisitiza ni kwamba mirad hiyo inayoonekana imefanyika kwa fedha za mikopo na bado miradi haijakamilika,sasa which is which,miradi hii iachwe ijifie tufanye mambo mengine au tumalizie kukopa tuikamilishe??kwa sababu in the first place hiyo miradi ni ya mikopo,tukiidump ijifie tutalipa,na tukichukua fedha na kuikamilisha tutalipa vile vile,
Na masuala ya kuongopeana kuwa eti tunajenga kwa fedha za ndan Ili Hali ukweli haupo hivyo yeye hawez mambo hayo,
Shida hii tunaipata ni kutokana. Na sera za USIRI za mwendazake na kutokuwa MUWAZ katika vitu vya msingi kama hivi,
President Samia SONGA MBELE,kazi iendelee..