Usiri wa Hayati Magufuli na kutokuwa muwazi matokeo yake ndiyo haya. Rais Samia songa mbele

Wewe jamaa hivi kweli unaelewa unachoandika?
Unataka uende BOT kupewa taarifa ya deni ili iweje? Taarifa za BOT zinatolewa kila mwezi miaka yote kwenye website yao
Ni wewe kuamua kuingia na kusoma
Hadi hapa naona aibu ikiwa hata hili ulikua hujui
Nakusaidia chini hapa nimeweka sehemu ambapo report za kila mwezi za BOT zinapotolewa, kisha bonyeza hapo palipoandikwa pakua
 
Wewe umekiri ni Mdini. Umeibuka hapa na hoja yako mufilisi sababu ni wazi umekerwa na Rais Muislamu kukosolewa na Ndugai, na umekuja kumtetea, kama mlivyokuwa wew na Wadini wenzako enzi za JK. Wote mlipotea Magu alipoingia.
 
N
Ndugu nami sikusomi, mwanzo kabisa nilikwambia ilitungwa sheria ya takwimu kudhibiti mijadala, usiloelewa hapa nini? Je Unao uhakika kwamba kipindi hicho cha jiwe hiyo web ya bot ilikuwa rahisi kama sasa, hata kama basi ungeweza kupata taarifa kwenye web ruhusa ya kuijadili ungeipata wapi?
 
Shida moja kubwa ulikua hujui taarifa za BOT kila mwezi zinatoka wapi
Narudia tena kukuweka sawa, report za BOT zinatolewa na zilitolewa miaka yote kila mwezi, hazijawahi kusimama
Pili kuhusu mijadala, ulikuwepo ndio maana unaona magazeti yaliandika na hadi ikapelekea waziri mpango kusema bado deni himilivu, Kama ambavyo wamejibu sasa.
Sasa ulitaka mjadala wapi? Mbona kina zitto Mara zote hiko twitter wamekua wakilijadili, au kwako mjadala unataka uwe wapi?
Mbona hata humu pia Hilo suala lilijadiliwa sana? Au mjadala kwako unapaswa kuwa wapi?
 
Ni lini ama humu jf au hadharani Zitto au wengineo waliwahi kujadili juu ya deni la taifa kwa takwimu? Au unataka kusema kuwa waziri akishatoa taarifa ndo mjadala huo? Nikumbushe labda nimesahau.
 
Ni lini ama humu jf au hadharani Zitto au wengineo waliwahi kujadili juu ya deni la taifa kwa takwimu? Au unataka kusema kuwa waziri akishatoa taarifa ndo mjadala huo? Nikumbushe labda nimesahau.
Mijadala humu ipo mingi sana, na mbona hata humu unaweza kuitapa? We mwenzeru shida hujui matumizi ya simu?
Mmoja wa mjadala huo hapo,
 

Duu ama kweli huu ni ubishi na si kuelewa hoja, sasa kwenye mjadala ulioweka wapi mtoa madam kaonesha takwimu? Au ni ubishi hadi kufa?
 
Duu ama kweli huu ni ubishi na si kuelewa hoja, sasa kwenye mjadala ulioweka wapi mtoa madam kaonesha takwimu? Au ni ubishi hadi kufa?
Unataka aweke takwimu gani mbona kaeleza na wachangiaji wamezungunza linavyoongezeka? Pia huo ni mjadala mmoja Kati ya mijadala 100 humu inayohusu deni wakati wa Magufuli
Hayaa nakuwekea mjadala mwingine huyo kaweka hizo takwimu unazotaka
 
Mama Samia kutokana na uwazi (transparency) ndiyo inaonekana as if anakopa sana wakati siyo kweli. Kiasi alichokopa ni cha kawaida tu na bahati nzuri fedha inayokopwa inagawanywa ktk maeneo yote nchini.

Mama asisikilize matarumbeta; afanye anachokiamini ili mradi kiwe kwa maendeleo ya Taifa. Kama fedha inayokopwa ni kwa ajili ya maemdeleo ya nchi yetu SIONI TATIZO.
 
Duu na hii nayo haujaielewa basi pamoja na kujiona mjuvi wa mambo jitathmini tena. Zionyeshe alizotoa hapo napo kuna shida. Kama hakuna mjadala uishie hapa.
 
Swali langu moja kwako, hadi Sasa Mama Samia kakopa kiasi gani? Swali muhimu sana hili unijibu
 
Duu na hii nayo haujaielewa basi pamoja na kujiona mjuvi wa mambo jitathmini tena. Zionyeshe alizotoa hapo napo kuna shida. Kama hakuna mjadala uishie hapa.
Ushaanza kuchanganyikiwa
Kwanza ulisema kulikua hakuna mijadala humu, kitu ambacho sio kweli
Nikakuambia mijadala ilikuwepo mingi sana
Ukasema nilete ushahidi
Nimeleta moja ya thread, ukasema mtoa mjadala hajaweka takwimu
Nikakuletea thread nyingine ambayo mtoa mjadala kaweka takwimu kuwa hadi 2018 Tumekopa trillion 51
Baada ya hapo naona umeanza lugha gongana, pole Ila ukweli humuweka mtu huru
Jifunze kuchukia kiasi na kupenda kiasi
Mimi sichukiagi Wala kupenda kupitiliza
Lakini Kama hujaridhika sema unataka thread yenye takwimu gani, maana thread humu zilikua zaidi ya 100, mi nafukua tu nakuletea
 
Nakubaliana na wewe hii miradi tuhakikishe inakamilika lakini tujizuie kuanzisha miradi mipya hadi tutakapoimaliza iliyopo vinginevyo wananchi tutatembea uchi!
 
Vyooooote vinavyofanyika havijawahi kunisaidia mimi,zaidi zaidi kuniumiza tu.Afadhali Nkapa n'a Kikwete.

Utawala wa Ccm umekuwa wa ovyo Jiwe alipovamia FANI.
ccm iondoke tu n'a wasomi uchwara n'a Elimu mbovu.

Wasomi watanzania wakiingia siasani basi huwa wanastaafu utaalamu n'a kufuzu unyambisi.
 
Swali langu moja kwako, hadi Sasa Mama Samia kakopa kiasi gani? Swali muhimu sana hili unijibu
Fuatilia habari zote imeelezwa kila mkopo uliosainiwa kiasi gani na unaelekezwa wapi

Usinipe kazi kama hufuatilii..ni wajibu wako kufuatilia
 
Fuatilia habari zote imeelezwa kila mkopo uliosainiwa kiasi gani na unaelekezwa wapi

Usinipe kazi kama hufuatilii..ni wajibu wako kufuatilia
[emoji23][emoji23][emoji23] lugha nyepesi ni kuwa hujui ndio maana umekua mkali sana
 
Hili njemba shabiki la kidini kweli.....
likiona utawala wa christian linakuwaga pinga pinga
Nenda kwenye hoja, dini yake haituhusu. Kwani Ili tutoe point humu inabidi tukane dini zetu kwanza?
 

Wakati Hayati Rais magufuli Akiwa anakuja Samia Suluhu Hassan alikuwa wapi na Kwanini hakuweza kumshauri?​

Mchezo uliochezwa Ikulu ni ule wa kwenye kitabu kitakatifu cha bililia habari ya Samson na Delila.​

Magufuli anaumwa Maza yuko kwenye ziara Mkoa wa TangaJamani?
Marabyuko likizo Zanzibar Jamani?
Tutaonane 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…