THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
- Thread starter
- #61
WW NI MDINI UNAFAHAMIKA HUNA PA KUJIFICHA WAJANJA TULISHAKUCHUNGULIA SIKU NYINGI SHEHE
Yes true ni mdini,and my religion is beautiful Islam,karibu katika uislam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WW NI MDINI UNAFAHAMIKA HUNA PA KUJIFICHA WAJANJA TULISHAKUCHUNGULIA SIKU NYINGI SHEHE
jiwe sio kwamba hakukopa, katka kipindi Cha miaka 5 ,alikopa jumla ya 29 trillion,na hangaya kwa miezi 9 amekopa trillion 11 Hadi Sasa,na hapo bado Kuna tozo . so far Kama wanakopa kwa matumiz sahh ya kujenga miradi it's ok,lkn speed ya kukopa kwa hangaya inatisha,Kama miez 9 tu 11T,je mpaka 2025 ,atakuwa kafika T ngapi,fanya hesabu mwenyewe,halafu compare na speed ya jiwe!!
Kwahiyo deni la taifa limepandishwa na vitu hivyo tu? Kwamba nchi haifanyi vitu vingine zaidi ya kujenga SGR na kununua ndege? Shida ni kwamba una chuki binafsi na wala huwa hujibu kwa weledi, sijawahi kuona post yako hata moja uliyowahi kujibu kwa weledi zaidi ya kujibu kwa chuki na wivu.Una uhakika gani kuwa zilikuwa ni fedha za ndani, wakati deni la taifa limeongezeka kuliko wingi wa miradi iliyopo? Magufuli alikuwa ni roho la uharibifu, na alikuwa muongo wa kutupa toka akiwa waziri. Nakumbuka wakati anadanganya wananchi kuhusu idadi ya samaki, na mayai yao yaliyoko kwenye water bodies za Tanzania. Kibaya zaidi alitumia kiburi cha madaraka yake kulinda uongo wake, na kwakuwa wajinga ni wengi alifanikiwa kuwahadaa. Wajinga ndio sasa wamemshwa usingizini na kuanza kuujua ukweli.
Una uhakika gani kuwa zilikuwa ni fedha za ndani, wakati deni la taifa limeongezeka kuliko wingi wa miradi iliyopo? Magufuli alikuwa ni roho la uharibifu, na alikuwa muongo wa kutupa toka akiwa waziri. Nakumbuka wakati anadanganya wananchi kuhusu idadi ya samaki, na mayai yao yaliyoko kwenye water bodies za Tanzania. Kibaya zaidi alitumia kiburi cha madaraka yake kulinda uongo wake, na kwakuwa wajinga ni wengi alifanikiwa kuwahadaa. Wajinga ndio sasa wamemshwa usingizini na kuanza kuujua ukweli.
Kwahiyo deni la taifa limepandishwa na vitu hivyo tu? Kwamba nchi haifanyi vitu vingine zaidi ya kujenga SGR na kununua ndege? Shida ni kwamba una chuki binafsi na wala huwa hujibu kwa weledi, sijawahi kuona post yako hata moja uliyowahi kujibu kwa weledi zaidi ya kujibu kwa chuki na wivu.
Nimekuonesha miradi iliyofanyika kwa pesa za ndani unatakiwa ukubali cz hyo ni fact but kama unaona nmekuonea weka ushahidi kupinga nilichosema na co kuongea vitu kutoka mdomoni mwako, huo ni utoto, chuki, wivu na ujinga.
Onesha mahali nimemtaja Samia.Hizo takwim unazosema Samia within 9 months kakopa 11 trillion umezitoa wapi?
Uwazi upi ilhali mikataba bado ni SIRI na hiyo mikopo mnapigwa porojo tu hakuna aliyeona hata hizo terms.
Au mnabandikiwa huko misikitini?
Mwambieni serikali yake ipeleke bill bungeni ili mikataba iwe wazi kwa kila mwananchi.
BTW:Kila mnapomtetea Mama yenu haina haja ya kumfanya mtangulizi wake benchmark.
Mkuu hii bado unapinga tu? Mbona ipo wazi? Kinachokutisha ni wingi huo wa pesa au nini? Mbona taarifa zipo wazi na tumesema hapa kuwa sasa Kuna uwazi?Hizo trillion 9 kwa miez tisa kwa data zipi,wabongo wazandiki sana
Kwahiyo deni la taifa limepandishwa na vitu hivyo tu? Kwamba nchi haifanyi vitu vingine zaidi ya kujenga SGR na kununua ndege? Shida ni kwamba una chuki binafsi na wala huwa hujibu kwa weledi, sijawahi kuona post yako hata moja uliyowahi kujibu kwa weledi zaidi ya kujibu kwa chuki na wivu.
Nimekuonesha miradi iliyofanyika kwa pesa za ndani unatakiwa ukubali cz hyo ni fact but kama unaona nmekuonea weka ushahidi kupinga nilichosema na co kuongea vitu kutoka mdomoni mwako, huo ni utoto, chuki, wivu na ujinga.
Wala hujakosea, ni kweli kakopa trillion 11Onesha mahali nimemtaja Samia.
Kwenye hiyo post yake kuna nini Cha kidini hapo?Hili njemba shabiki la kidini kweli.....
likiona utawala wa christian linakuwaga pinga pinga
Dini yangu Mimi ni Uislam,
Na dini yako wewe ni ukristo,ukristo is what gives you peace of mind,enyoy your Christianity,Uislam wangu Mimi unakuumiza nini hadi ufikie hatua useme unaharibu ubongo wangu ndugu yangu??
It's a choice which I have made,let me die with my religion,wewe una dini yako na Mimi Nina dini yangu., sasa shida Nini.
Naona umeshindwa kuthibitisha kwamba hakuna mradi uliofanyika kwa pesa za ndani, kama umeshindwa basi sawa mana hiyo ndiyo ilikuwa hoja, acha chuki.Miradi iliyozidi 2t kipindi chake ni mitatu tu, kwanza ni ndege zinazokaribia 2t, SGR na SG ambazo hakuna mradi hata mmoja uliofikia robo ya lengo hadi anafariki. Vituo vya afya na hospitali nchi nzima havijavuka 500b, hazikujengwa barabara za 5t. Je hiyo 20t deni limetoka wapi?
Weka figures hapa usitake kujificha kuwa ninachuki naye, maana sijawahi kumpenda kiongozi yeyote dhalimu na mwenye kiburi cha madaraka. Kumbuka alikuwa anakusanya kodi, hapo itatusaidia kuona kodi alizokusanya zilienda wapi, na mkopo uliingia wapi. Niliunga mkono hoja ya Nape ufanyike uchunguzi wa mikopo ya wakati wa Magufuli ili tujiridhishe fullstop.
Naona umeshindwa kuthibitisha kwamba hakuna mradi uliofanyika kwa pesa za ndani, kama umeshindwa basi sawa mana hiyo ndiyo ilikuwa hoja, acha chuki.
Una maanisha nini? Magufuli Kukopa haikuwahi kuwa na uwazi hata tone, au wewe ulikuwa wapi Ilipotungwa sheria ya takwimu! umesahau yaliyotaka kumkuta Zitto?Mkuu uwazi wa kukopa upo, BOT kila mwezi walikuwa wanavhapisha report za kuhusu mikopo na Deni, na hata Sasa wanafanya hivyo.
BOT hawajawahi kusimama kutoa taarifa kuhusu mikopo wala deni
Sijui nianzie wapi kukujibu.Una maanisha nini? Magufuli Kukopa haikuwahi kuwa na uwazi hata tone, au wewe ulikuwa wapi Ilipotungwa sheria ya takwimu! umesahau yaliyotaka kumkuta Zitto?
Kipindi cha Magufuli ukishasema serikali imekopa Basi we kama ni mtule wake kiti unakiacha. Hata hao bot taarifa zilikuwa zao tu.