Usiruhusu mwanaume kuhamia kwenye nyumba yako uliyojenga kwa jasho lako

Tutakutongoza wewe kambi ya fisi- wewe tengeneza mazingira tu ya kujifanya wa kike

Nishakupenda teari wewe unaonekana ni demu sema umeweka dp ya mwanaume tu hapo utuzuge.... njoo dm nishakupenda teari

Ntumie namba yako dm- maana sio Kwa kupigania haki za kina mama kwa nguvu izo
 
Kuwa mpole tu mkuu mambo iko hivyo siku hizi, mbaya zaidi mambo zibapelekwa kisheria
 
Mm Sio marioo Ebo!! Ila tu Mambo ya watu yanakutia wivu wa nn Sasa?
pili pili usio Ila inakuwashia nn?
misemo ya kiswahili..wazungu wanasema Mind your own business.
Kama wewe sio mario basi tulia waache wadada wachukue ushauri kwa faida yao.

Pilipili ya shamba haikuhusu hiyo
 
Nishakupenda teari wewe unaonekana ni demu sema umeweka dp ya mwanaume tu hapo utuzuge.... njoo dm nishakupenda teari

Ntumie namba yako dm- maana sio Kwa kupigania haki za kina mama kwa nguvu izo
Kwa hiyo umeamua kutoa tangazo kabisa kuwa unataka mwanaume wa kukuoa?

Weka tu namba yako hapa utapata utapata hakika wa kukufumua marinda we gay [emoji16]
 
Kwa hiyo umeamua kutoa tangazo kabisa kuwa unataka mwanaume wa kukuoa?

Weka tu namba yako hapa utapata utapata hakika wa kukufumua marinda we gay [emoji16]

Acha utoto sasa kambi ya fisi

Nishakwambia njoo dm elewa basi .... wewe vipi? Kambi ya fisi hayaa mambo ya kikubwa sasa tunayoongea sasa hivi kuwa seriously
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…