Lovie Lady
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,826
- 4,652
π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mwanamke anaenda kwenye nyumba ambayo hajajenga na halipi kodi, alafu anakua comfortable, iweje ishindikane kwa mwanaume? Kwanini kwa mwanaume ionekane ni kupenda kitonga?Una hoja wanaume wa sikuhizi wapenda kitonga na hawana haya unaendeleaje Kwa nyumba ambayo hulipi kodi Wala hujajenga na inakuwa comfortable
Mbn nyie mnakaa kwenye nyumba zetu hamlip Kodi wala hamjajenga na mnakua comfortable na hamna anaewabugudh achen uchoyo kmmkUna hoja wanaume wa sikuhizi wapenda kitonga na hawana haya unaendeleaje Kwa nyumba ambayo hulipi kodi Wala hujajenga na inakuwa comfortable
Safi broKama mwanamke anaenda kwenye nyumba ambayo hajajenga na halipi kodi, alafu anakua comfortable, iweje ishindikane kwa mwanaume? Kwanini kwa mwanaume ionekane ni kupenda kitonga?
Shida ni kwamba, Feminists wengi hamjui mnachokipigania. Hata 50/50 mnayoitaka pia hamuelewi tafsiri yake kiundani.
Nimeuliza swaliMbona umepanic sana una shida gani?
Basi ngoja nikuambie tu kuwa usithubutu kuhamia kwenye mjengo wa mkeo.Nimeuliza swali
Anajikosha tu huyu akidhani atapata mbususu humuSawa semaji letu. Tumesikia
Imeisha hioKwanza kumkuta mwanamke ana nyumba na hajaolewa ni bahati sana huenda ashapitia ups and down nyingi sana. Wengi huhitaji mkuyenge tu basi sio ndoa tena
Mbona unahama kwenye mada kulikoni bwashee?Anajikosha tu huyu akidhani atapata mbususu
Kumbe unawajua vyema πUna hoja wanaume wa sikuhizi wapenda kitonga na hawana haya unaendeleaje Kwa nyumba ambayo hulipi kodi Wala hujajenga na inakuwa comfortable
π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨π¨
Kweli kabisaUkiona mwanaume amehamia ujue tuu huyo sio mwanaume wa kiume. Ana hitilafu tayari
Mwanaume aliye sawa hufanyi hivyo
Na usioe ikiwa hujajengaMwanaume usikubali kuishi na mwanamke kwenye nyumba ulojenga kwa jasho lako hata kama n nzur vip
Jengen yenuu kwa jasho len kwa mia mia zetu pamoja
Utakuja nishukuru
SawaaaNa usioe ikiwa hujajenga
Hakuna kitu kibaya kama umaskini wewe una nyumba au kibanda?Mwanamke Usiruhusu Mwanaume Kuhamia Nyumbani Kwako...
Ukiamua kuolewa usimruhusu ahamie kwako, hata kama unamiliki jumba la kifahari katika soko la juu halafu huyo jamaa anaishi katika nyumba ndogo ya kupanga, ni heri ujishushe daraja na utoke kwa jumba lako la kifahari na uhamie katika kijumba chake hicho muishi hapo hadi mnunue au mjenge nyumba yenu pamoja.
Kuna sababu tatu za kutomruhusu ahamie kwako β¦
1. Mwanamume anayehamia kwenye nyumba ya mwanamke hukimbia wajibu.
Kwa kawaida mwanaume anayejua wajibu wake huchukua hatua kabla ya kuoa.
Hutayarisha makao ya bibi-arusi wake kabla ya kumpata huyo bibi-arusi.
2. Ikiwa unaweza kumudu kumiliki nyumba halafu mwanaume unayeishi naye hawezi kumudu kumiliki nyumba basi yeye sio saizi yako.
Akihamia kwenye nyumba yako ipo siku mtaingia katika ligi ya kupigana juu ya nani anayedhibiti nyumba.
Hivyo achana naye mwache aende akapate mwanamke wa saizi yake.
3. Ikiwa mwanamume atahamia nyumbani kwako, matarajio yake makuu ni kulelewa na wewe, atakufanya uwe mtoaji wake kwa kila kitu. Muda si muda, hutamheshimu tena, yeye pia hata kupenda tena.
Katika dunia ya sasa wanawake hawawezi kujisalimisha kwa wanaume ambao hawatoi.
NB: ujumbe huu ni kwa wanawake wote ambao hawajaingia ktk ndoa, ila kwa wale waliopo ktk ndoa na wanaishi na hao wanaume majumbani kwao huu ujumbe hauwahusu, wakomae tu waume zao wazembe.