Unatukana matusi kwa jina la Yesu!Mleta mada kaoe maskini wenzio una pepo la umaskini wewe na ukoo wako na wazazi wako kaa mbali na watoto wa kike toka familia za wenye uwezo usije ambukiza familia za wenye uwezo pepo lenu la umaskini bakini nalo hukoko kwenu na kwenye ukoo wenu kwa Jina la Yesu
Kamwe haitawahi kutokea hata maiti yangu haitowahi kuingia humo kamweBasi ngoja nikuambie tu kuwa usithubutu kuhamia kwenye mjengo wa mkeo.
SawaKamwe haitawahi kutokea hata maiti yangu haitowahi kuingia humo kamwe
Inabidi na binti asiende kuishi nyumba ya mwanamume. Chako chako na changu kisiwe chetu🤣Sawa semaji letu. Tumesikia
Yethuu na Marie!Kuna mmoja yupo hapa jiran kakuta janamke la kichaga lishajenga 2 houses tena nzur na ka gar na watoto,picha linaanza watoto wale wa like hawamuheshimu baba ,wanavaa vibaya mbele yake. Ila utamkuta mzee kavimba kwenye kagar, lile limama linamgombezaga had mbele za watu. Mbayaaaa
Kutoka kwenye nyumba uliojenga afu kwenda kupanga nako mtihani [emoji854]Mwanamke Usiruhusu Mwanaume Kuhamia Nyumbani Kwako...
Ukiamua kuolewa usimruhusu ahamie kwako, hata kama unamiliki jumba la kifahari katika soko la juu halafu huyo jamaa anaishi katika nyumba ndogo ya kupanga, ni heri ujishushe daraja na utoke kwa jumba lako la kifahari na uhamie katika kijumba chake hicho muishi hapo hadi mnunue au mjenge nyumba yenu pamoja.
Kuna sababu tatu za kutomruhusu ahamie kwako …
1. Mwanamume anayehamia kwenye nyumba ya mwanamke hukimbia wajibu.
Kwa kawaida mwanaume anayejua wajibu wake huchukua hatua kabla ya kuoa.
Hutayarisha makao ya bibi-arusi wake kabla ya kumpata huyo bibi-arusi.
2. Ikiwa unaweza kumudu kumiliki nyumba halafu mwanaume unayeishi naye hawezi kumudu kumiliki nyumba basi yeye sio saizi yako.
Akihamia kwenye nyumba yako ipo siku mtaingia katika ligi ya kupigana juu ya nani anayedhibiti nyumba.
Hivyo achana naye mwache aende akapate mwanamke wa saizi yake.
3. Ikiwa mwanamume atahamia nyumbani kwako, matarajio yake makuu ni kulelewa na wewe, atakufanya uwe mtoaji wake kwa kila kitu. Muda si muda, hutamheshimu tena, yeye pia hata kupenda tena.
Katika dunia ya sasa wanawake hawawezi kujisalimisha kwa wanaume ambao hawatoi.
NB: ujumbe huu ni kwa wanawake wote ambao hawajaingia ktk ndoa, ila kwa wale waliopo ktk ndoa na wanaishi na hao wanaume majumbani kwao huu ujumbe hauwahusu, wakomae tu waume zao wazembe.
Wa Kaskazini tunaweza. Hao wa Dar endeleeni kuwapa 100/0Inabidi na binti asiende kuishi nyumba ya mwanamume. Chako chako na changu kisiwe chetu🤣
50/50 inabalansi hapo
Ukiwa serious unapasua tu huo mtihaniKutoka kwenye nyumba uliojenga afu kwenda kupanga nako mtihani [emoji854]
Sifuti mtoto yeyote.wa kike kutoka familia tajiri asikubali kuolewa na lofa au kutoka familia ya kilofa aolewe na mtu saizu yakeUnatukana matusi kwa jina la Yesu!
Pole Mario futa tu mihemko ya kutamani kuhamia mjengoni kwa mkeo
Nipo njia kuuMbona unahama kwenye mada kulikoni bwashee?
Hakika mnawezaWa Kaskazini tunaweza. Hao wa Dar endeleeni kuwapa 100/0
Bwashee nipo njia kuuMbona unahama kwenye mada kulikoni bwashee?
Mtoto maskini wa kiume kuoa msichana.wa kike mwenye uwezo hapanaUnatukana matusi kwa jina la Yesu!
Pole Mario futa tu mihemko ya kutamani kuhamia mjengoni kwa mkeo
Shida zinaanzia kuoa kijana hana mbele.wala nyuma anataka kuoa msichana mwenye uwezo akioa saizi yake shida haipoNdoa shida sana. Matatizo kibao.
Hilo la saizi yake linajieleza ktk uziLakini kila kijana wa kiume awe saizi.yake kuepusha migogoro mbeleni
UsihameBwashee nipo njia kuu
Kwenye uzi unaowahusu wadada wa kaskazini, umewakana mara tatu. Sasa hivi tayari umesahau?Wa Kaskazini tunaweza. Hao wa Dar endeleeni kuwapa 100/0
Tulia.Kwenye uzi unaowahusu wadada wa kaskazini, umewakana mara tatu. Sasa hivi tayari umesahau?