Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Serikali inafanya makusudi sana mwaka juzi iliajiri watu 2000 wa NTA level 5 (assistant clinical officer) nakuacha diploma na medical doctor wakisaga rumba mtaaniWanataka usiendelee level 6 uishie level 5 ili uweze kuajiriwa na Serikali kwa hio kwa maana hio wanaoendelea level 6 ni mafala wenzao walioishia level 5 wanaajiriwa wao wanaendelea kusota mtaani,
Elimu na kazi imekua ni ujanja ujanja tu siku hizi, hujasikia watu wanatengeneza vyeti feki online na wanaajiriwa fresh?Unakoelekea mtoa mada,
Kuna siku Utasema Watu wasisome kabisa
Ujanja ujanja tu stupid nation, yaan wanaweka vigingi vya kijinga dunia nzima hakunaSerikali inafanya makusudi sana mwaka juzi iliajiri watu 2000 wa NTA level 5 (assistant clinical officer) nakuacha diploma na medical doctor wakisaga rumba mtaani
Kuliko kusoma hizi kozi bora kuuza chai stendi ya magu10.KILIMO MIFUGO
Ujanja ujanja tu wengi wanapata kazi/ajira kiujanja ujanja mixa connection sio kwamba kichwani wapo brightChangamoto inakuja ni pale unasoma ili upate ajira na sio kusoma ili upate knowledge halafu mengine yatafata...masomo yote unakariri ili ufaulu hiyo knowledge utaipata vp?
Ukitaka kuthibitisha ilo Nenda hospital muulize swali Daktari uone atakavyojing'ata
Ajira sio bahati ni ujanja na connection ukiwa zuzu hakuna anaekupa Ajira,Kama hujabahatika kupata ajira ni wewe kuna wengne wakimaliza tu hawakai kabisa mtaan
Ujanja ujanja walio incompetent ndio wamejazana na viburi juuUjanja ujanja tu wengi wanapata kazi/ajira kiujanja ujanja mixa connection sio kwamba kichwani wapo bright
That's how it is, mtu anapenyezwa penyezwa kiujanja ujanja kwa mfumo wa connection unamkuta yupo ndani kuna mshikaji baba yake ni mkuu wa Chuo cha Diplomasia tumemaliza pamoja na hata GPA yake ni ndogo Ila kapigiwa pande anafanya kazi Ofisi ya Mwanasheria mkuu wa SerikaliUjanja ujanja walio incompetent ndio wamejazana na viburi juu
Hii Tanzania kama umezaliwa familia ya kimasikini unahitaji nguvu kubwa kutoboa.utumishi kujuana,TRA kujuana,TPA kujuana,jeshi/police bila connection hauendi, mikopo ya halmashauri hupati utahangaika na MUNGU wako mpka unakufaThat's how it is, mtu anapenyezwa penyezwa kiujanja ujanja kwa mfumo wa connection unamkuta yupo ndani kuna mshikaji baba yake ni mkuu wa Chuo cha Diplomasia tumemaliza pamoja na hata GPA yake ni ndogo Ila kapigiwa pande anafanya kazi Ofisi ya Mwanasheria mkuu wa Serikali
Connection+Ujanja Ujanja = Job/Kazi/AjiraHii Tanzania kama umezaliwa familia ya kimasikini unahitaji nguvu kubwa kutoboa.utumishi kujuana,TRA kujuana,TPA kujuana,jeshi/police bila connection hauendi, mikopo ya halmashauri hupati utahangaika na MUNGU wako mpka unakufa
Uhasibu sio kweli, kuna uwanda mpana sana wa hiyo kozi, ni uamue tu kuwa boya.11. Ualimu
12. Accountancy
Business Adminstration plain?? Unakuwa mweupe maana unakuwa unajua vitu robo robo.I wish ningesoma kozi ya Business Adminstration. Yaani ni mwendo wa kusimamia tu biashara zako kitaalamu.
Mkuu uko sahihi kwa 100%. Kilimo na ufugaji vinaweza kupunguza tatizo kwa asilimia kubwa mno. Hata uvuvi pia. Nilishasema sisi watanzania tuache kufanya mambo ambayo tayari tumeshachelewa. Kwa mfano unakuta Masoud Kipanya anakuambia kagundua gari ambalo huwezi kuliuza hata hapo Malawi. Hizi nguvu tulizo nazo kama nchi tuzielekeze kwenye kilimo. Pia mikopo ya itolewe kwa watu ambao kweli wako serious na kilimo na angalau walishaanza kufanya.Ajira mpya zimeshindikana kutengenezwa wakati Population ya watu inaongezeka kama utitiri.
Serikali imefeli kubuni na kuendeleza mifumo iliyopo ya kiuchumi ili izalishe ajira.
Kwa nchi yetu hii, Kiwanda pekee kinachoweza kutoa ajira kwa idadi kubwa ya watu ni KILIMO..
Tumeshindwa kufanya Uwekezaji mkubwa kwenye KILIMO, katika nchi ambayo kila KATA inalimika tunashindwaje kuwa na IRRIGATION SCHEMES wakati tumejaa na Maji kila kona ya nchi...
Nchi hi jumla ya KATA ipo kwenye 4,000 hivi, ina maana kama kila KATA ikiwa na IRRIGATION SCHEME ambazo nyingi zimejengwa na Serikali kwa gharama isiyozidi Bilioni 2/- basi nchi nzima tunahitaji kama Trilioni 8..
Nchi inakopa MATRILIONI kibao lakini MKULIMA kule chini bado MASIKINI wa kutupwa.
View attachment 2505836
Ni wazi Serikali imeshindwa kukipigania KILIMO kinachotegemewa na zaidi ya robo tatu ya nchi, sasa kwanini wasitafutwe watu wa kuwekeza kwa makusudi kabisa kama ilivyo kwenye MADINI?
WATENDAJI wetu wakuu wanapenda hela inayozalishwa PAPO KWA PAPO ili wapige 10% watambae na chao.
Hakuna anayemfikiria mwanachi wa mwisho kabisa kule kijijini anayetaabika na jembe la mkono.
Serikali inatoa Ruzuku kwenye Mbolea, vipi kuhusu pembejeo zingine na gharama za Kilimo? Kilimo bado ni cha mazoea huku wakulima wakiendelea kuwa Masikini.
Endapo KILIMO kikitengeneza ajira, kitafungua ajira zingine nyingi sana.
Tanzania leo inaweza ikawa muuzaji wa mazao ya chakula na biashara kwa nchi nyingi sana haswa kwenye zama hizi na zijazo..
Kila Kanda ya nchi hii ina zao la biashara la kuliingizia hela..
Mwishowe inaonekana tunahitaji kugawa hii inchi KIKANDA ili tufanikiwe... Ndo tunafikia kwenye KATIBA πππ ... Kila kitu nchi kimesimamishwa na KATIBA ya MKOLONI π€£π€£
Hili BOMU la AJIRA ambalo wakubwa bado hawajalitolea macho ipo siku litawalipukia... Tengenezeni KILIMO kiajiri WATANGANYIKA, siye Watanganyika tukishakuwa na vijisenti mfukoni ya Chakula, Kodi na kulipa Ada za WATOTO wetu hatuna shida hiyo MIRADI mikubwa nyie gombanieni tuππ
Acha watu wasome kozi wanazotakaKOZI AMBAZO SIMSHAURI MTU KUSOMA NI HIZI ZIFUATAZO
1.PROCUREMENT
2.FOREIGN RELATION
3.BUSINESS ADMINISTRATION
4:HUMAN RESOURCE
5:ENGINEERING
6:BCOM
7:MD
8:SOCIOLOHY
9:ComMUNITY DEVELOPMENT
WEWE WEKA KOZI AMBAZO NI KICHOMIIIIII HAMNA AJIRA KABISAAA