Mimi mstaarabu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 262
- 577
- Thread starter
- #21
HR? Ziko wapiAjira zipo sana, sema Huna connection
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HR? Ziko wapiAjira zipo sana, sema Huna connection
Sahihi kabisa...Mwisho wa siku katika haya maisha kila mtu ana bahati yake.
Taja ofisi 1 isiyokuwa na uhitaji wa HRHR? Ziko wapi
Issue ya connection ndo kipengereMkiambiwa muishi na watu vizuri hamsikii mnajifanya wakaidi izo kozi zote ulizozitaja ajira zinazo unachohitaji wewe ni connection tu.
Graduate wako wangapi na wanaohitajika kila mwaka wako wangapi?? Kila ofisi inataka HR 1 au 2 watu wapo 50000Taja ofisi 1 isiyokuwa na uhitaji wa HR
Soma account alfu nenda for CPA ukilamba asali yake Ni tamu bala11. Ualimu
12. Accountancy
Uzi ufungweMwisho wa siku katika haya maisha kila mtu ana bahati yake.
Sociology, Political and Public Admnistration (PSPA), Public Admnistration (BPA), Conflict resolution, Mass communication (Mascom), International relation, Public relation, Theology, Arabic language, Tax Management, Community development, Rural development planning etc.
Hiyo Ni kichomiWildlife Management ni uzwazwa
Hizi ni kichomiiSociology, Political and Public Admnistration (PSPA), Public Admnistration (BPA), Conflict resolution, Mass communication (Mascom), International relation, Public relation, Theology, Arabic language, Tax Management, Community development, Rural development planning etc.
In human resources hyo nayo kichomiHuja specify Bcom in nini?
NakaziaMwisho wa siku katika haya maisha kila mtu ana bahati yake.