Usisiome kozi hizi..!

Usisiome kozi hizi..!

Kama unategemea kuajiriwa basi chagua course yenye mawanda ya ajira. Mfano mtu aliyesoma Business Administration anaweza akawa HR, Customer service officer, Trade Analyst, Banks and Microfinance (loan officer, back office, teller), marketing, promotion, sales, TRA kwenye mambo ya kodi, etc.
Mwisho wa siku kila mmoja kapangiwa fungu lake (kupata na kukosa)
Wewe ndo kidogo umetoa mawazo/suluhisho sahihi kabisa, unachotakiwa sio kuacha kusoma bali kuangalia kozi yenye muingiliano wa nafasi mbalimbali za kazi mojawapo ni Business Administration
 
KOZI AMBAZO SIMSHAURI MTU KUSOMA NI HIZI ZIFUATAZO
1.PROCUREMENT
2.FOREIGN RELATION
3.BUSINESS ADMINISTRATION
4:HUMAN RESOURCE
5:ENGINEERING
6:BCOM
7:MD
8:SOCIOLOHY
9:ComMUNITY DEVELOPMENT

WEWE WEKA KOZI AMBAZO NI KICHOMIIIIII HAMNA AJIRA KABISAAA
Unazungumzia Ajira za aina gani.. Be specific ✍️
 
Mkuu uko sahihi kwa 100%. Kilimo na ufugaji vinaweza kupunguza tatizo kwa asilimia kubwa mno. Hata uvuvi pia. Nilishasema sisi watanzania tuache kufanya mambo ambayo tayari tumeshachelewa. Kwa mfano unakuta Masoud Kipanya anakuambia kagundua gari ambalo huwezi kuliuza hata hapo Malawi. Hizi nguvu tulizo nazo kama nchi tuzielekeze kwenye kilimo. Pia mikopo ya itolewe kwa watu ambao kweli wako serious na kilimo na angalau walishaanza kufanya.
naomba nichangie kidogo juu ya kilimo kuwa mwajiri mkuu siku zijazo. Ili kilimo kiwe mwajiri mkuu, sharti serikali awe mdhamini mkuu kwa kufanya mambo makubwa yafuatayo, iimarishe post harvest infrastructure (storage and preservation) ili kusiwepo na hasara, mfano, nchi yetu haina mashamba ya embe, lakini embe hizo hizo za kuokoteza zinaoza. Serikali idhamini wanaoweza kuzalisha kwa soko la nje kwa kutoa au kuwapa ruzuku ili wafikie ubora unaotakiwa. Serikali ipromote masoko ya ndani, mfano kuna watu wanawalimia wazungu chakula na wenyewe hawali, ukienda njombe, Wabena wale hawali parachichi, kumbe wangekula japo moja kwa siku, soko la ndani lisingetosha. Serikali ikiwa na madege yake ya kusafirisha nyama/matunda/maua/maziwa kila siku, vijana watarudi vijijini kulima.
 
Mkuu uko sahihi kwa 100%. Kilimo na ufugaji vinaweza kupunguza tatizo kwa asilimia kubwa mno. Hata uvuvi pia. Nilishasema sisi watanzania tuache kufanya mambo ambayo tayari tumeshachelewa. Kwa mfano unakuta Masoud Kipanya anakuambia kagundua gari ambalo huwezi kuliuza hata hapo Malawi. Hizi nguvu tulizo nazo kama nchi tuzielekeze kwenye kilimo. Pia mikopo ya itolewe kwa watu ambao kweli wako serious na kilimo na angalau walishaanza kufanya.
MIKOPO yenyewe wanasema wenye vigezo!!!! Sasa wangapi nchi hii wanakopesheka??
Ukweli ni kuwa hata hao wakubwa wanafahamu kabisa kwamba KILIMO ndo Kila kitu nchi hii ila MIRAHABA ndo imewapofusha.
Hao wawekezaji wanaotajwa Kila kukicha hawana msaada wa moja moja kwa uchumi wa mwanachi wa mwisho wa nchi hii..
Hivi VIWANDA vinanunua malighafi kutoka nje haswa China, halafu baada ya uchakataji siye Watanganyika tunakuwa wateja, then hela ya mauzo inakatwa hicho kikodi halafu mzunguko unaanza upya wa kununua Malighafi... Kwahiyo hapa ni kuwa siye tunabaki kuwa wateja na wenzetu wachache wanaopewa ajira ndo tunadanganywa nayo.
Ila hili gap tungeweza kuliziba kama na sisi tungekuwa ni wazalishaji pia, kitu ambacho kinawezekana.
Nchi yetu si ya kuagiza Mafuta ya Alizeti na Chikichi kutoka nje kama Serikali ikiamua na kushikilia bango..
Leo hii yule mwanachi wa chini akiwa na hela mfukoni hata hizo TOZO hazitolalamikiwa
...
 
That's how it is, mtu anapenyezwa penyezwa kiujanja ujanja kwa mfumo wa connection unamkuta yupo ndani kuna mshikaji baba yake ni mkuu wa Chuo cha Diplomasia tumemaliza pamoja na hata GPA yake ni ndogo Ila kapigiwa pande anafanya kazi Ofisi ya Mwanasheria mkuu wa Serikali
Changamoto imeanzia kwenye mfumo wetu wa maisha katika ngazi ya familia/ukoo kutokana na mambo ya kiujamaa. Utasikia jamaa zako wanakusimanga kuwa umepata nafasi mahala flani ila huna msaada wowote kwa ndugu zako kwa kushindwa kuwashika mkono kupitia nafasi uliyonayo.

Siku tukiacha ku-embrace huu mfumo(jambo ambalo si rahisi kwa hivi karibuni), ndio mambo yatanyooka kama ilivyo nchi za wenzetu dunia ya kwanza.

Wenzetu wana embrace mfumo wa capitalism ambao una Individualism ndani yake. Hakuna ncha ndugu wala cha sijui mtoto wangu nimuweke mahala. Yaani mtoto akishazaliwa akifikisha miaka 18 anatakiwa kujitegemea maisha yake kwa kila jambo. Support ipo ila kidogo sana.
 
Pata kwanza degree yenye GPA 3.5 and above halafu ndo uje na uzi kama huu. Ukiwa na GPA mbovu unapunguza chances za kupata kazi.
Inategemea mkuu wengine GPA zilikuwa za kupewa tu, nakumbuka interview yangu ya mwanzo na mwisho niliyopata kazi pale DUCE tulifanya na vipanga ilikuwa ya tax magnt officer tra, kuna watu wengi walikuwa na cpa na wengine GPA za kutisha lkn wengi waliambulia kupata 20 kati ya 100 lkn wale wenye gpa ndgo walipata kazi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Haya mamb ni Mungu
 
Community ukiwa MJANJA NGO ZINAKUAJILRI ESPECIALLY UN, ENGINEER INA HELA PIA ILA WASOMI WACHACHE KOZI ZA BIASHARA KILA MTU ANA DEGREE YA BIASHARA THATS WHY TRA NI LAZIMA UWE UMESOMA BIASHARA KOZI WATU 55000 INTERVIEW TAIFA YOTE ILIJAA KWA MKAPA PALE
 
Inategemea mkuu wengine GPA zilikuwa za kupewa tu, nakumbuka interview yangu ya mwanzo na mwisho niliyopata kazi pale DUCE tulifanya na vipanga ilikuwa ya tax magnt officer tra, kuna watu wengi walikuwa na cpa na wengine GPA za kutisha lkn wengi waliambulia kupata 20 kati ya 100 lkn wale wenye gpa ndgo walipata kazi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ni kweli lakini tukubali tu ukweli mchungu kwamba GPA ni muhimu.
 
Ni kweli lakini tukubali tu ukweli mchungu kwamba GPA ni muhimu.
Km una mtu kitengo mwenye uwezo wa kukuweka GPA is nothing Cheti chako ndio muhimu wanachofanya ni kuthibitisha tu ulisoma kozi fulani na wewe ni mtoto wa mkubwa fulani tu basi, GPA haiwahusu hata ukiwa na GPA ya 2.0

Wale wanao gombania goli ndio wanaangaliwa GPA
 
Back
Top Bottom