HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
BajetiSerikali inafanya makusudi sana mwaka juzi iliajiri watu 2000 wa NTA level 5 (assistant clinical officer) nakuacha diploma na medical doctor wakisaga rumba mtaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BajetiSerikali inafanya makusudi sana mwaka juzi iliajiri watu 2000 wa NTA level 5 (assistant clinical officer) nakuacha diploma na medical doctor wakisaga rumba mtaani
Kwa agronomy umepuyanga mkuu. watu wanakula mema ya nchiKuliko kusoma hizi kozi bora kuuza chai stendi ya magu
Agronomy
Bachelor of laboratory science
Crop production and management
Sosholoji
Akiology
Ni kweli,Kama hujabahatika kupata ajira ni wewe kuna wengne wakimaliza tu hawakai kabisa mtaan
[emoji23][emoji23][emoji23]Uliwahi kuugua kichaa mkuu?
GPA haioneshi ufanisi wa kazi(practically) mara zote. Huyo ana GPA ndogo ila yupo vizuri kivitendo. Wewe una GPA kubwa ya kukariri na upo loose kivitendo.!That's how it is, mtu anapenyezwa penyezwa kiujanja ujanja kwa mfumo wa connection unamkuta yupo ndani kuna mshikaji baba yake ni mkuu wa Chuo cha Diplomasia tumemaliza pamoja na hata GPA yake ni ndogo Ila kapigiwa pande anafanya kazi Ofisi ya Mwanasheria mkuu wa Serikali
Mbona umemu underrate Mungu kiasi hicho? Eti utahangaika na Mungu wako mpaka unakufa. Badilisha hiyo statement. Kwamba Mungu hawezi kumsaidia apate kazi???Hii Tanzania kama umezaliwa familia ya kimasikini unahitaji nguvu kubwa kutoboa.utumishi kujuana,TRA kujuana,TPA kujuana,jeshi/police bila connection hauendi, mikopo ya halmashauri hupati utahangaika na MUNGU wako mpka unakufa
Wewe umejiajiri? Na unatoka familia yenye hadhi ipi?Connection+Ujanja Ujanja = Job/Kazi/Ajira
Huna connection wewe sio mjanja mjanja sahau kuajiriwa jiajiri mwenyewe, haijalishi umetoka mazingira gani UKIKOSA vitu hivyo viwili you're done
Wewe umesoma kipi kati ya ulivyotaja?Yes hii ni POINT[emoji91]
Soma mambo haya upate pesa:
1.udereva
2.fundi printer na makopyuta maintainance
3.photography
4.graphic designing
Wewe unayajua?Vile vile DUNIA I AELEKEA KWENYE TEKNOLOJIA KUBWA ZAIDI MAMBO YOTE YATAKUA YANAFANYIKA ONLINE KWAHIYO UKIJUA NA MASWALA YA COMPUYUTA UTAPIGA PESA SANA BAADAE NA HATA SASA
Ndiyo kozi gani hiyo?Hii course ya 'real estate kama huna connection kutoboa ningumu. Tuna wajua wTu enzi izo walifanyiwa mipango hahaha.kama huna mzaz mtu mkubwa utoboi labda mungu aingilie kati