Usisiome kozi hizi..!

Usisiome kozi hizi..!

Hii course ya 'real estate kama huna connection kutoboa ningumu. Tuna wajua wTu enzi izo walifanyiwa mipango hahaha.kama huna mzaz mtu mkubwa utoboi labda mungu aingilie kati
 
Pengine umeelezea hisia zako tu na vile umepima watu wanavopambana mtaani lakini niamini mimi ajira zipo na kuna wengi tu wameajiriwa kupitia hizo courses

Chamuhimu.

1.Muamini mungu
2.Ongeza bidii
3.Wekeza na sehem zingine(usiwaze ajira tu)
 
That's how it is, mtu anapenyezwa penyezwa kiujanja ujanja kwa mfumo wa connection unamkuta yupo ndani kuna mshikaji baba yake ni mkuu wa Chuo cha Diplomasia tumemaliza pamoja na hata GPA yake ni ndogo Ila kapigiwa pande anafanya kazi Ofisi ya Mwanasheria mkuu wa Serikali
GPA haioneshi ufanisi wa kazi(practically) mara zote. Huyo ana GPA ndogo ila yupo vizuri kivitendo. Wewe una GPA kubwa ya kukariri na upo loose kivitendo.!

Furahia mwenzako anapopata shavu usiweke roho ya kukunjamana na kwa nini. Huo ni ushamba!
 
Hii Tanzania kama umezaliwa familia ya kimasikini unahitaji nguvu kubwa kutoboa.utumishi kujuana,TRA kujuana,TPA kujuana,jeshi/police bila connection hauendi, mikopo ya halmashauri hupati utahangaika na MUNGU wako mpka unakufa
Mbona umemu underrate Mungu kiasi hicho? Eti utahangaika na Mungu wako mpaka unakufa. Badilisha hiyo statement. Kwamba Mungu hawezi kumsaidia apate kazi???
 
Connection+Ujanja Ujanja = Job/Kazi/Ajira

Huna connection wewe sio mjanja mjanja sahau kuajiriwa jiajiri mwenyewe, haijalishi umetoka mazingira gani UKIKOSA vitu hivyo viwili you're done
Wewe umejiajiri? Na unatoka familia yenye hadhi ipi?
 
Hii course ya 'real estate kama huna connection kutoboa ningumu. Tuna wajua wTu enzi izo walifanyiwa mipango hahaha.kama huna mzaz mtu mkubwa utoboi labda mungu aingilie kati
Ndiyo kozi gani hiyo?
 
Back
Top Bottom