Usisome kozi ya clinical medicine (clinical officer) kabla ya kusoma thread hii

Nakazia hapo , na sio tu division 1 bali ni division 1 kali 3-6 ,
 
Uchumi changamoto pia mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtu anaunga dip kwa D 4 afu degree atakutana na mtu katandka AAA PCB,

Elimu inachezewa wallah.
 
Nikufata waziri DM mpk atoe neno
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtu anaunga dip kwa D 4 afu degree atakutana na mtu katandka AAA PCB,

Elimu inachezewa wallah.
Sister kuna waliopata div one form four ila six kapiga zero acha kujikatisha tamaa kisa triple A za PCB twende kwenye practical kam huifanyii kazi hizo A itakuw bure
 
Sister kuna waliopata div one form four ila six kapiga zero acha kujikatisha tamaa kisa triple A za PCB twende kwenye practical kam huifanyii kazi hizo A itakuw bure
Practical huyu wa AAA za PCB anafanyia Degree, na sio Dip km huyo failures wa D 4 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Practical huyu wa AAA za PCB anafanyia Degree, na sio Dip km huyo failures wa D 4 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mh kazi kweli kweli ila sio kwamba wanaosoma diploma wana ufaulu huo but kuna wengine wana div one kabisa lakini wanazngua pia maana sometime unakuta mtu uko vizuri theory lakini ukikutana na chief wodini anakukazia kabisa hutoboi sasa div one yako inaingia wapi kwenye uelewa wa mtu darasani au?
 
Unataka kusema wa Dip ni bora kuliko wa degree?
 
Chuo gani mkuu, mnahitaji pongezi
 
Sikujua kama lugalo wanachuo
 
Umeongea ukweli kasoro Hiyo namba ya kudahili let say 4100, ni Kweli wanadahiliwa wengi ila wanafeli sana, na wanaomaliza ni robo ya hiyo namba, pia sio Kweli kwamba CO wapo wengi sana kihivyo, ila sema kuna vyuo vingi sana vinadahili wanafunzi wa utabibu ila wanaofanikiwa kumaliza bado ni wachache sana, Kwahiyo ni kweli wanaosomea utabibu ni wengi ila wanaohirimu ni wachache bado, yote kwa yote ni kozi ambayo usiweke kipaumbele kuisoma kwasasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…