Habari wakuu
Nimekuwa na msemo mkubwa sana ambao umekuwa ukitumika sana, "tafuta pesa". Hasa linapokuja masuala ya kuhonga, lakini ndugu unaweza ukajisifu unahonga ila kuna watu wanahonga sana wewe cha mtoto.
Ngoja niwape kilichomkuta jamaa yangu, kilinisikitisha, nisingipenda nitaje majina halisi na uhusiano wangu na yeye.
Huyu jamaa ambaye ninampa jina fake la Peter, alikuwa ana mahusiano na dada mmoja mwanafunzi wa form IV, tuna mpa jina fake la Lucy.
Peter alimkubali sana Lucy mpaka akataka amuoe, ila manzi akakataa akamwambia Peter mpaka majibu ya form IV yatoke ndio nitajua unioe au lah! Majibu yalikuja kutoka Lucy alifaulu kwenda advance, moja kwa moja akamwambia jamaa amsubirie mpaka amalize.
Jamaa kwasababu anampenda akawa yupo tayari kumsubiria mpaka amalize, lakini hakuishia hapo alikuwa anamgharamia ada kwa kipindi chote hicho mpaka anamaliza.
Lucy alikuja kumwambia Peter ningependa nimalize kabisa chuo hapo ndio utakuwa huru kunioa kuliko sasa hivi, hii ni baada ya kufaulu kwenda chuo jamaa alikuwa bega bega nae.
Huyo lucy ninamfahamu na aliwahi kunitambulisha kwake, na sio tu mimi wengi tu walikuwa wanajua kiukweli demu ni mzuri haswa. Huyu Lucy alikuwa anaishi na shangazi yake sema walikuwa hawaelewani.
Hii alinimbia peter mwenyewe so peter akaamua ampangishie nyumba nzima Lucy, na sio tu kumpangishia pekee lakini pia akamnunulia gari litakalokuwa linampeleka mpaka chuo. Yeye Lucy alikuwa hajui kuendesha so alimwajiri dereva atakayekuwa anamuendesha.
Kumbe Lucy alikuja kuanzisha uhusiano wa mapenzi na mwanafunzi mwenzake wa pale chuo, jamaa akawa hajui ingawa akipata taarifa hiyo. aliipuzia yeye aliona kama watu wanatumia hiyo njia ili wampate mtu wake kimauhusiano.
Jamaa alikuwa kapenda na kaoza juu ya Lucy, lakini baadae alikuja kuwafumania kwenye nyumba aliyompangishia mpenzi wake Lucy. Imagine jamaa kapoteza muda, fedha kwa mwanamke at the end of the day anapigwa tukio.
Halafu sasa Lucy alipata mimba sasa sikuwahi kujua au kuulizia ile mimba ilikuwa ya Nani ingawa jamaa ndio alikuwa ana itake care.
NB: Nilichogundua mimi jamaa alikuwa hapendwi, ninavyojua mimi ukiwa na hela utapata mademu wa kugonga. Pesa pekee haifanyi demu akupende na sio kigezo cha kumpata mwanamke wa kuishi nae.