Usitafute pesa kwasababu ya mwanamke, iwe kwaajili maisha yako. Kilichomkuta huyu jamaa ni fundisho tosha!

Usitafute pesa kwasababu ya mwanamke, iwe kwaajili maisha yako. Kilichomkuta huyu jamaa ni fundisho tosha!

Wajinga Kila cku wanazaliwa,unapokuwa na Dem kama mwanaume lazima uwe na uwezo wa kujitathmini huyo Dem Yuko na wewe Kwa ajili gani.lakini kama jamaa kaanza kumbaka Binti tangu akiwa form four then hayo ni malipo ya kuchezea utoto au kutoa bikra kama aliikuta maana angeweza kwenda jela.
Alimchezeaje wakati alikuwa anataka kumuoa kabisa
 
Hichi kizazi cha ngono suala la ndoa kwa nguvu zako pekee huwezi, shetani ataki kabisa taasisi inayoitwa ndoa, lengo kuu ni Ili watoto wakose muongozo kisha awavute kwenye ushoga, uteja,ukahaba, kamari, wizi, nk nk wapotee kisha kifo
 
Vifuatavyo ni Marufuku kwa mchumba ...!

Apangishiwi nyumba,asomeshwi,ajengewi,
alipiwi vicoba,alipiwi ADA Wala hanunuliwi gari...!

Marufuku Kbs.

Vinavyoruhusiwa ni vitu kama Zawadi Za peni,mkebe au kompasi,calculator, laptop,kitambaa cha Leso,Saa Ya mkononi,viatu,madaftari,Vishikwambi n.k....!
Rafiki yako Mwambie atulize mshono ndo kashapigwa hapo..!
Toa laptop hapi kweny list...vingne vyote nimepitisha
 
Alimchezeaje wakati alikuwa anataka kumuoa kabisa
Alikuwa anakula mzigo wakati Dem bado mtoto Kwa kisingizio Cha pesa,sasa mtoto kakua kajitambua.remember there is no consent from a child.
 
Vifuatavyo ni Marufuku kwa mchumba ...!

Apangishiwi nyumba,asomeshwi,ajengewi,
alipiwi vicoba,alipiwi ADA Wala hanunuliwi gari...!

Marufuku Kbs.

Vinavyoruhusiwa ni vitu kama Zawadi Za peni,mkebe au kompasi,calculator, laptop,kitambaa cha Leso,Saa Ya mkononi,viatu,madaftari,Vishikwambi n.k....!
Rafiki yako Mwambie atulize mshono ndo kashapigwa hapo..!

Umepiga mle mle mkuu
 
Ukitanguliza pesa n Mara chache mnoo kupata msichana anayekupenda kwa dhati. Punguzen kuwekeza kwa mwanamke. Mwanamke mwenyewe anampenda mwanaume mtemj, malaya
Habari wakuu

Nimekuwa namsemo mkubwa Sana ambao umekuwa ukitumika Sana "Tafuta pesa" hasa linapokuja masuala ya kuhonga lakini ndugu Unaweza ukajisifu unahonga ila kuna watu wanahonga Sana wewe Cha mtoto ngoja niwape kilichomkuta jamaa yangu klinisikitisha mmoja nisingipenda nitaje majina halisi na uhusiano wangu na yeye.

Huyu jamaa ambaye ninampa jina fake la Peter alikuwa ana mahusiano na dada mmoja mwanafunzi wa form iv tuna mpa jina fake la Lucy, Peter alimkubali Sana Lucy mpaka akataka amuoe ila manzi akakataa akamwambia Peter mpaka majibu ya form iv yatoke ndio nitajua unioe au lah!. Majibu yalikuja kutoka Lucy alifaulu kwenda advance Moja kwa Moja akamwambia jamaa amsubirie mpaka amalize jamaa kwasababu anampenda akawa yupo teyari kumsubiria mpaka amalize lakini hakuishia hapo alikuwa anamgharamia ada kwa kipindi chote hicho mpaka anamaliza.

Lucy alikuja kumwambia Peter ningependa nimalize kabisa chuo hapo ndio utakuwa huru kunioa kuliko sasa hiv hii ni baada ya kufaulu kwenda chuo jamaa alikuwa bega bega nae.

Huyo lucy ninamfahamu na aliwahi kunitambulisha kwake na sio tu mimi wengi tu walikuwa wanajua kiukweli demu ni mzuri haswa. Huyu Lucy alikuwa anaishi na shangazi yake sema walikuwa hawaelewani hii alinimbia peter mwenyewe so peter akaamua ampangishie nyumba nzima Lucy na sio tu kumpangishia pekee lakini pia akamnunulia gari litakalokuwa linampeleka mpaka chuo yeye lucy alikuwa ajui kuendesha so alimwajiri dereva atakaekuwa anamuendesha.

Kumbe Lucy alikuja kuanzisha uhusiano wa mapenzi na mwanafunzi mwenzake wa pale chuo jamaa akawa ajui ingawa akipata taarifa hiyo aliipuzia yeye aliona kama watu wanatumia hiyo njia ili wampate mtu wake kimauhusiano jamaa alikuwa kapenda na kaoza juu ya Lucy lakini baadae akuja kuwafumania kwenye nyumba alimpangishia mpenzi wake lucy imagine jamaa kapoteza muda,fedha kea mwanamke the end of the day anapigwa tukio alafu sasa Lucy alipata mimba sasa sikuwahi kujua au kuulizia ile mimba ilikuwa ya Nani ingawa jamaa ndio alikuwa ana itake care

NB:Nilichogundua mimi jamaa alikuwa apendwi ninavyojua mimi ukiwa na hela utapata mademu wa kugonga pesa pekee haifanyi demu akupende na sio kigezo Cha kumpata mwanamke wa kuishi nae
 
Kila asie na hela huamini kua na hela ndo kila kitu...😂😂
 
Back
Top Bottom