- Thread starter
- #41
Alimchezeaje wakati alikuwa anataka kumuoa kabisaWajinga Kila cku wanazaliwa,unapokuwa na Dem kama mwanaume lazima uwe na uwezo wa kujitathmini huyo Dem Yuko na wewe Kwa ajili gani.lakini kama jamaa kaanza kumbaka Binti tangu akiwa form four then hayo ni malipo ya kuchezea utoto au kutoa bikra kama aliikuta maana angeweza kwenda jela.