Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. WMN ni Wizara ya kutelekezea Watu wakorofiKuna watu walikuwa wanasema kuwa Bwana January kapelekwa mambo ya nje kwa ajili ya kuandaliwa kuwa Rais! Hiki tuliwaambia ni kichekesho.
Aliyesema ukiwa waziri wa mambo ya nje unakuwa Rais ni nani? Tuliwauliza je? Mama Mulamula alipokuwa waziri wa mambo ya nje alikuwa anaandaliwa kuwa Rais? Ambacho hamkujua ni kuwa alipelekwa mambo ya nje ili akae kwenye mwanga mkali zaidi ili madudu yake yaonekane na sasa yamekuwa wazi sana na amebakia kuwa historia ya waziri wa mambo ya nje aliyekaa muda mfupi sana ofisini.
Britanicca
January alijua ameshamaliza kilakitu bado kupitishwa tu na kamati kuu kumbe🤣Makamba NI zero kabisa hata mi ningemtimua, weka pembeni ishu ya kupanga jambo Hatari ambalo imebaki Siri tuje la kawaida yaani unawezaje kuwa waziri wa mambo ya nje halafu unazurura manchi mengine huko unajitutumua kama wewe ndiyo Rais wa nchi? Yaani unasafiri kama waziri wa mambo ya nje na uko na Rais kwenye ziara unakuwa na timu yako ya waandishi wa habari mbali na waandishi wa habari wa Rais wanaku brand wewe kuliko Rais wako? Yaani unashindana na Rais au? Yaani unawezaje kuwa kwenye ziara nje ya nchi unataka wewe kama waziri uambatane na mawaziri wengine yaani wewe ni Rais? Huu ni ulimbukeni na ujinga wa hali ya juu sana. Tunaposemaga January hana akili hiii ndiyo ilikuwa maana yake lakini wengi sana hawakuwa wanataka kuelewa lakini sasa nadhani mmeelewa kwa kuwa mmerahisishiwa kuelewa kwa kufukuzwa kwake.
Britanicca
Ni tarehe tu zimefanana lakini hakuna uhusiano wowote. Hayati JPM huko alipo hana taarifa yoyote kuwa Makamba alirudishwa serikalini.January alitenguliwa na Magufuli 21/07/2019 Mwaka mmoja kabla ya uchaguzi, SSH amemtengua 21/07/2024 Mwaka mmoja kabla ya uchaguzi, je nyuma ya pazia huu mfanano wa tarehe mwaka mmoja kabla ya uchaguzi unamaanisha nini?
Je anapewa kazi maalum inayohusiana na uchaguzi? Au just coincidence?
Jenga hoja zenye kueleweka za huo udogo wa uwezo wake kuliko kuja na maneno ya kulazimisha kwamba hana uwezo.
Yaani uitoe ccm kwa kupiga kura?..Maza uwezo wake ni mdogo.
..hajui nchi ilikotoka, na inatakiwa kwenda wapi.
..kwa kifupi yeye ndio anaharibu kuliko hata hao anaowabadilisha.
..yeye na chama chake wanatakiwa kuondolewa kupitia sanduku la kura.
Yaani uitoe ccm kwa kupiga kura?
Watanzania mnachekesha, ccm haito kaa itoke madaraka hata kwenye ndoto huwez kuota ndoto kama hyo..
Njia anayo pitia Makamba ndiyo njia aliyo kuwa anapitia Lowasa..
Umeme upo kila sehemu, viwanda vinafunguliwa kila kukicha, pato la taifa linaongezeka kila kukicha na miradi iliyokuwa imekwama inazidi kuifungua Tanzania...hajui hata anataka nini. Falsafa yake ya 4R imemshinda kutekeleza amebaki kupelekeshwa tu.
tishio la nini? labda kama anakutisha wewe...mimi siikubali Ccm yote, lakini nadhani kuna watu huko mnamuona Makamba ni tishio ndio maana mnampiga vita.
Samia kaona liwalo na liwe ngoja ampumzishe kwanza. Ataanzisha tu majungu na fitina ndio vitu anavyoviweza lakini haitamsaidia chochote.tishio la nini? labda kama anakutisha wewe.
kwetu huyo ni mpuuzi, fisadi na mshirikina nothing more nothing less. In a fair competitive ground huyu empty set anaweza kushindana na nani akashinda? uwezo hana, akili hana ila watu wa kumbeba anao.
Nape, mwigulu, makamba, kikwete, Hawa watu wamelidumaza sana Taifa hili, hawafai kabisa hawa...Maza uwezo wake ni mdogo.
..sasa atabadilisha wangapi kwasababu wamemfunika?
Magufuli alimuacha nyie mkasema maneno kibao ya utetez juuuMakamba NI zero kabisa hata mi ningemtimua, weka pembeni ishu ya kupanga jambo Hatari ambalo imebaki Siri tuje la kawaida yaani unawezaje kuwa waziri wa mambo ya nje halafu unazurura manchi mengine huko unajitutumua kama wewe ndiyo Rais wa nchi?
Yaani unasafiri kama waziri wa mambo ya nje na uko na Rais kwenye ziara unakuwa na timu yako ya waandishi wa habari mbali na waandishi wa habari wa Rais wanaku brand wewe kuliko Rais wako? Yaani unashindana na Rais au?
Yaani unawezaje kuwa kwenye ziara nje ya nchi unataka wewe kama waziri uambatane na mawaziri wengine yaani wewe ni Rais?
Huu ni ulimbukeni na ujinga wa hali ya juu sana. Tunaposemaga January hana akili hiii ndiyo ilikuwa maana yake lakini wengi sana hawakuwa wanataka kuelewa lakini sasa nadhani mmeelewa kwa kuwa mmerahisishiwa kuelewa kwa kufukuzwa kwake.
Britanicca
Nape, mwigulu, makamba, kikwete, Hawa watu wamelidumaza sana Taifa hili, hawafai kabisa hawa.
tishio la nini? labda kama anakutisha wewe.
kwetu huyo ni mpuuzi, fisadi na mshirikina nothing more nothing less. In a fair competitive ground huyu empty set anaweza kushindana na nani akashinda? uwezo hana, akili hana ila watu wa kumbeba anao.
Wewe unao uwezo mkubwa wa hiyo nafasi uliyonayo sasa hivi?. Punguzeni maneno negativity hayawasaidii chochote...hata Maza asili yake ni genge hilohilo.
..Na kibaya zaidi ni kwamba ana uwezo mdogo kuliko hao uliowataja.
Umeme upo kila sehemu, viwanda vinafunguliwa kila kukicha, pato la taifa linaongezeka kila kukicha na miradi iliyokuwa imekwama inazidi kuifungua Tanzania.
Nyinyi wachache wa Dar mnaosumbuliwa na wivu wala hamuwanyimi watendaji wa serikali usingizi.
Makamba alidanganyika kwa kuwa msaidizi wa Kikwete akadhani anao uwezo wa kuwa rais tayari.
Mtazame anapoongea na wageni haswa wazungu vile anavyojiweka.
Ujuaji umemjaa akilini mwake na hana watu sahihi wenye kuweza kumwambia ukweli.