Usitake kumfunika boss wako, kilichomuondoa Makamba Wizara ya Mambo ya Nje

Hollywood kuna nyumba anayoishi Tom Cruise ina thamani ya dola milioni 60 lakini hapo hapo Los Angeles kuna watu wanalala ndani ya maboksi usiku.
 
Wewe unao uwezo mkubwa wa hiyo nafasi uliyonayo sasa hivi?. Punguzeni maneno negativity hayawasaidii chochote.

Hata JPM mlisema hivi hivi alipokuwa hai alipoaga dunia mkaanza kumpamba kinafiki.

..Magu na Samia waliahidi Tanzania ya viwanda mwaka 2015. Tunakwenda mwaka wa 10 sasa, Je, umeridhika na utekelezaji wa ahadi hiyo? Kwa vigezo na ushahidi upi?
 
..walevi wana kawaida ya kufunguka na kuongea mambo ya ukweli kuliko ambao hawajapata kinywaji.

..nina hakika hata wewe ukipata bia kadhaa utaachana na uchawa utazungumza ukweli.
Huko kwenye uchawa ndio huwa kimbilio lenu mnapoishiwa hoja. Samia kafanya la maana kumchinjilia mbali Makamba.

Awe anafaa au hafai tutaujua huo ukweli mwakani mwezi wa uchaguzi.
 
Tembea Tanzania nzima uangalie uhalisia sio unalaumu ukiwa umekaa mbele ya laptop au simu yako.

..umasikini kila mahali.

..Maza amekata pumzi, na kaishiwa mbinu.

..hana ideas, wala sera za kuikwamua nchi, ndio maana ameamua kuvamia Serengeti kuchimba madini.

..huo ni ushahidi kwamba uwezo wa kuongoza hana, pia hana nia njema na Watanganyika.
 
Chuki zako ni shida yako mwenyewe. Muda huu ukiwa unalialia humu kuna watu wanafanya biashara na kuingiza mabilioni ya pesa na ni watanzania wenzetu.
 
Acheni uwongo, Mh. Rais Hana hiyo inferiority complex, kwanza mambo hayo ya kihivyo yalikuwa huko zamani...Siku hizi watu wote wenye akili nzuri na busara hupenda watendaji walio Wazuri kuwazidi
 
..umasikini kila mahali.

..Maza amekata pumzi, na kaishiwa mbinu.

..hana ideas, wala sera za kuikwamua nchi, ndio maana ameamua kuvamia Serengeti kuchimba madini.

..huo ni ushahidi kwamba uwezo wa kuongoza hana, pia hana nia njema na Watanganyika.
Daah mmeanza sasa kujidai nyie zaidi ama?
 
Chuki zako ni shida yako mwenyewe. Muda huu ukiwa unalialia humu kuna watu wanafanya biashara na kuingiza mabilioni ya pesa na ni watanzania wenzetu.

..mabilionea wako wangapi nchini kwetu?

..kuna muda tunapaswa kuacha ubinafsi, na kuwafikiria na kuwatetea wenzetu wanaotaabika kutokana na uongozi mbovu wa Maza na Ccm.
 
Kwa hiyo hii ndo sababu ya kumtumbua??

Nyuzi zote unazoleta juu ya Makamba kumbe mna issues zenu binafsi ambazo hazina maslahi yeyote yale ya msingi kwa Taifa???

Kweli nchi hii ujinga ndo unatuangamiza.

Kumbe it's all about personalities na sio issues za msingi zenye maslahi ya nchi???

Kwa hiyo mwigulu anayesimamia uchumi wa nchi vibaya hadi saivi dola inapatikana kwa black market na imesababisha inflation yeye yuko sawa. Ila mtu anayejibrand ndo anakosa la kufanya atumbuliwe??

Mzungu alipomuita mtu mweusi nyani hakukosea kwa kweli!
 
Makamba na CCM wote mafisadi
 
..mabilionea wako wangapi nchini kwetu?

..kuna muda tunapaswa kuacha ubinafsi, na kuwafikiria na kuwatetea wenzetu wanaotaabika kutokana na uongozi mbovu wa Maza na Ccm.
Hakuna rais kati ya sita walioongoza Tanzania tangu uhuru ambaye awamu yake inashangiliwa akiwa bado yupo ikulu.

Kila Rais huitwa shetani akiwa ikulu na malaika akiwa keshastaafu. Ujinga na umaskini wetu tunadhani wa kumtupia lawama ni yule aliye ikulu.
 
..kukimbilia kuchimba madini kila mahali, hata maeneo nyeti kama Serengeti, ni dalili za watawala kuishiwa mbinu za kuleta maendeleo.
NI sisi tunaolalamika mapato hayatoshi na kulaumu rais. Tumuache atumie ubunifu wake wote aliojaaliwa na Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…