Usitake kumfunika boss wako, kilichomuondoa Makamba Wizara ya Mambo ya Nje

Heshimu taratibu za uongozi unapopewa cheo siku zote. Kujifanya anajua kiasi cha kuingilia kazi ya mkurugenzi wa TCAA ni ushahidi wa kiongozi gani atakuja kuwa akipewa nafasi ya urais.

Mwigulu anaweza kustahili lawama lakini kuna kazi ya maana sana anayoifanya katika kumalizia miradi yote aliyoiacha hayati JPM.
 

..huu umasikini wa wananchi kila mahali tunatoa wapo uhalali wa kusifia uongozi wa Ccm, na wenyeviti wao?

..ukiangalia nguvu kazi iliyoko, changanya na rasilimali tulizobarikiwa, na utulivu wa wananchi wetu, Tanzania haikupaswa kuwa namna hii kiuchumi.

..bila shaka viongozi wetu na Ccm wametuangusha.
 
Wewe mwenyewe umejiangusha mkuu,. hao wanaofanikiwa wanaishi katika Tanzania hii hii tunayoishi.
 
Tatizo la huyo mama Abdul inatakiwa ujifanye mjinga Sani ili usomi outshine, ni inept
 
Wengi hawakumwelewa JPM, muda ni mwalimu mzuri sana
Samia alitaka kumfurahisha Kikwete kwa kuwavuta marafiki zake karibu, kamtimua Makamba na Nape bila hata kusikiliza busara za Mzee wa Msoga.

Kwa ufupi Makamba kazingua na namuona akianzisha chokochoko kwa Samia mwakani kuelekea uchaguzi mkuu.
 
Wewe mwenyewe umejiangusha mkuu,. hao wanaofanikiwa wanaishi katika Tanzania hii hii tunayoishi.

..wanaoingia ktk umasikini ni wengi kuliko wanaochomoka toka ktk umasikini.

..hicho ndicho KIGEZO KIKUU cha kuangalia kama sera za watawala zinafanya kazi au la.
 
..wanaoingia ktk umasikini ni wengi kuliko wanaochomoka toka ktk umasikini.

..hicho ndicho KIGEZO KIKUU cha kuangalia kama sera za watawala zinafanya kazi au la.
Kumbuka kuna ongezeko la watu muda wote, ni tatizo la dunia nzima.

Sera za kuwatoa wengi kwenye umaskini zipo na zinafanya kazi.
 
Kaoteshwa kibri na yule babu wa Bumbuli, alitoa mabati kanisani kama zawadi akawaambia wakayachukulie ofisini kwa mbunge
 
Ndiyo tatizo ya hizi kazi za kupewa...kila ukisimama kwenye mkutano ama jukwaa lazima uanze na...mama oyeeee, mamaa anaupiga mwingi...nani kama mama...

Bora nife lofa aisee !!
Umekuja na tafakari tofauti kabisa na ujumbe wa mada yangu.
 
Babu hicho ni kiinim
kiinimacho tu, hawa hawagusi maslahi, wanagusa taadhima na busara. Kwenye maslahi hatumbuliwi mtu.

Mwigulu. Benki kuu hawawezi kuguswa, kule ndiyo maslahi happy!!
 
Mama nae ana wivu ameona makamba atamnyang'anya urais 2025 akaona amtulize kwanza na si ajabu akamtupa mbali kabisa hata akampa ubalozi wa Quba ili amtenganishe na siasa alimradi asipate UPINZANI wa urais 2025
 
Rais Nyusi alipoenda kumuaga Rais Hussein Mwinyi,ikulu Zanzibar.Walifika na kuondoka kwenye gari Moja pamoja na Januari.
Imekaaje hii kiitifaki?
Je ni kujikweza au Kawaida tu wanasave gharama za mafuta wakaamua kutembelea gari Moja!
 

imhotep ona siasa za kimaskini hapa. Ajabu na kweli hata wanakohimiza makamanda kukomaa, ni hivi hivi.

Bure kabisa!
 
Sio kweli. Ni mnyenyekevu asiyependa dharau za wasaidizi wake.

..uwezo hana anasingizia wasaidizi.

..tangu aingie ameteua na kutumbua Wakuu wa Usalama wanne.

..idadi sawa na wakuu wa usalama wakati wa Mwalimu Nyerere aliyeongoza miaka 24.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…