Shukrani kwa sahihisho 🙏🏽Umbeya❌
Umbea✅
Asande dijei
HUyu slut aliyepiga picha na burna boy ndio nani??
Ndio sanaa yetu. Kiki tuUnaweza kupata hasira kumbe Nandy, Yammi, Raya, Barnaba na mama mkwe unaemsema, wote wamekaa chini na management zao wakapanga mkakati wa kupush wimbo na kwa sababu wabongo wanapenda umbeya. Wakaona wapite humohumo kwa kuwapa bongo movie ya kuiongelea
Nilimshangaa sana barnaba kubadili dini kisa Ke. Yeye ndio kaolewa.Kitendo cha mwanaume kubadili dini kwa sababu ya mwanamke ni udhaifu mkubwa sana,wala sishangai nayoyasikia.
Kwanza kijana unaoaje familia yenye uswahili uswahili?familia inayoongozwa na mama?
Chukuwa kopo ukachambe.Nimelia,unajiita Dr .Unaandika usitalajie.
kijana mwenye PhD yake Dr Matola PhD UNAITWA HUKU....= Usitarajie.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?