Usitarajie kuwa na ndoa imara kwa uzembe wako wa kwenda kuoa familia ya kiswahili swahili

Usitarajie kuwa na ndoa imara kwa uzembe wako wa kwenda kuoa familia ya kiswahili swahili

Una uhakika gan kama huyo aliyeoa yeye sio mswahili mswahil?
 
Kitendo cha mwanaume kubadili dini kwa sababu ya mwanamke ni udhaifu mkubwa sana,wala sishangai nayoyasikia.
Kwanza kijana unaoaje familia yenye uswahili uswahili?familia inayoongozwa na mama?
 
Unaweza kupata hasira kumbe Nandy, Yammi, Raya, Barnaba na mama mkwe unaemsema, wote wamekaa chini na management zao wakapanga mkakati wa kupush wimbo na kwa sababu wabongo wanapenda umbeya. Wakaona wapite humohumo kwa kuwapa bongo movie ya kuiongelea
Ndio sanaa yetu. Kiki tu
 
Kitendo cha mwanaume kubadili dini kwa sababu ya mwanamke ni udhaifu mkubwa sana,wala sishangai nayoyasikia.
Kwanza kijana unaoaje familia yenye uswahili uswahili?familia inayoongozwa na mama?
Nilimshangaa sana barnaba kubadili dini kisa Ke. Yeye ndio kaolewa.
 
Back
Top Bottom