Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Baada ya miaka 5 fasheni inaonekana ya kishamba kwahiyo mimi ntaendelea kuamini kuwa mbwembwe kwenye ujenzi ni ushamba uliochangamka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa Mkuu lazima nikutafuteUkiweza piga kabisa na blundering plain (ft 2× 2)
then ukihitaji utanicheki.
Sio vizuri fasheni zote zikakupitaBaada ya miaka 5 fasheni inaonekana ya kishamba kwahiyo mimi ntaendelea kuamini kuwa mbwembwe kwenye ujenzi ni ushamba ulio changamka
Akadiria nyumba ya vyumbs vitatu na sebure 1.2M kianzioKAZI nzur Sana chief
UngeWeka Bei na material Kia's gan zimetumika kwa vipiimo kadhaa vya ukubwa wa sebule/chumba
AsanteFundi ni mimi.
Hizo picha umeweka sema mlifanya kwa bei gani, then sisi tutajua kwetu itakuwa ngapi.bei inaathiriwa na vitu vingi.
1. Ukubwa sehemu unakufungwa(nyumba/chumba)
2. Design ya decoration husika (zinatofautiana bei)
Ila kwa tips ndogo kama unahitaji nyumba yako yote iwe na urembo kila sehemu bei inaanzia million 1.2. kwa nyumba ya vyumba vitatu vya kulala, sebule, dining, korido jiko na sebule. (zingatia bei pia inaathiriwa na aina ya urembo utazochagua)
Hii bei ya milioni 1.2 ni kwa vyumba vyote au chumba kimoja?bei inaathiriwa na vitu vingi.