Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hii inakuaje??
Na hii pia ningependa kujua
Baada ya miaka 5 fasheni inaonekana ya kishamba kwahiyo mimi ntaendelea kuamini kuwa mbwembwe kwenye ujenzi ni ushamba uliochangamka
Aisee sijui mm ni ushamba kitu chochote kikishakuwa na makorokoro mengi huwa nakikinahi fasta...... so na prefer zaidi simple kwa kila kitu katika maisha yangu!!Wakuu Karibuni,
Tunatengeneza na kudesign ceiling ya nyumba yako kwa mitindo mbali mbali utayoipenda ww. Kokote ndani ya Tanzania utafikiwa.
"Kazi tunapata kutokana na kazi, so hakuna kitu nazingatia kama ubora wa kazi. Ni bora nikaiacha kazi kuliko kuona hailipi halafu ukaifanya, mwishowe ikafanyika kwa kulipua."
bei inaathiriwa na vitu vingi.
1. ukubwa sehemu unakofungwa(nyumba/chumba)
2.design ya decoration husika (zinatofautiana bei)
ila kwa tips ndogo kama unahitaji nyumba yako yote iwe na urembo kila sehemu bei inaanzia million 1.2. kwa nyumba ya vyumba vitatu vya kulala, sebule, dining, korido jiko na sebule. (zingatia bei pia inaathiriwa na aina ya urembo utazochagua)
whatsapp, calls & normal text 0656735270
View attachment 2414118
Picha za kazi zangu ziko nyingi sana. Nitakuwa naendelea kuziongeza taratibu kwenye reply 👇👇na ambazo zitafanyika nitaendelea kuweka pia.
Ni kweli wengine wanapenda vitu simple. unaweza pia kuweka usio na mbwe mbwe nyingi na ukavutia kwa mapenzi yako.Aisee sijui mm ni ushamba kitu chochote kikishakuwa na makorokoro mengi huwa nakikinahi fasta...... so na prefer zaidi simple kwa kila kitu katika maisha yangu!!