Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ngumu mpaka ufanye tathmini. Ya aina ya urembo na unakotakiwa kukaa.kazi inavutia sana Troublemaker ungejaribu kuanisha gharama za material kwa moja ya picha ulizotuma. Sidhani ile uliyotaja itakuwa ni ufundi na material.
Pia unaweza kufanya kazi sehemu yoyote tz?
Wakuu Karibuni,
Tunatengeneza na kudesign ceiling ya nyumba yako kwa mitindo mbali mbali utayoipenda ww. Kokote ndani ya Tanzania utafikiwa.
"Kazi tunapata kutokana na kazi, so hakuna kitu nazingatia kama ubora wa kazi. Ni bora nikaiacha kazi kuliko kuona hailipi halafu ukaifanya, mwishowe ikafanyika kwa kulipua."
bei inaathiriwa na vitu vingi.
1. ukubwa sehemu unakofungwa(nyumba/chumba)
2.design ya decoration husika (zinatofautiana bei)
ila kwa tips ndogo kama unahitaji nyumba yako yote iwe na urembo kila sehemu bei inaanzia million 1.2. kwa nyumba ya vyumba vitatu vya kulala, sebule, dining, korido jiko na sebule. (zingatia bei pia inaathiriwa na aina ya urembo utazochagua)
whatsapp, calls & normal text 0656735270
View attachment 2414118
Picha za kazi zangu ziko nyingi sana. Nitakuwa naendelea kuziongeza taratibu kwenye reply [emoji116][emoji116]na ambazo zitafanyika nitaendelea kuweka pia.