Usitengeneze kawaida dari la nyumba yako, karibu tukupendezeshee

Hizo picha umeweka sema mlifanya kwa bei gani, then sisi tutajua kwetu itakuwa ngapi.
 
Hii bei ya milioni 1.2 ni kwa vyumba vyote au chumba kimoja?
 
Hizo picha umeweka sema mlifanya kwa bei gani, then sisi tutajua kwetu itakuwa ngapi.
Itakuwa ni rahisi ukachagua unayotaka then ukapewa bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…