Usitengeneze mahusiano na mtu anayekupiga mizinga muda wote


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah!
 
Kawa too much
 

Huyu hakukupenda, angekupenda angekua na huruma na aibu japo kidogo,pole sana ndio ukubwa[emoji3]
 
Ndiyo maana tukisha mzalisha mwanamke kama huyu lazima tumtelekezee yeye na mtoto ili aisome namba
 
Kwa mwanaume inakuaje
 
Dah!,
Mimi nilipata mfanyakazi ila kwa vizinga yaani unaweza sema hana kazi lol,

Eti ndani ya mwezi mmoja mwanamke anataka macho 3

Nikamwambia nimeghairi mahusiano na wewe,na sina sababu kwanini nimeghairi...
 
Acha woga Mangi[emoji855][emoji855][emoji855]
 
Ww uliingiaje huko kwa single mama. Huyo naye alikukubalia maana Keshaona Mtelezo
 
Mzee baba sijataka hata kujiuliza mara mbili ni ndukiiiii... Cha kushangaza hachoki kunitafuta mda wote anapiga tu simu sipokei na text sijibu... Imeisha hiyooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…