Usitengeneze mahusiano na mtu anayekupiga mizinga muda wote

Nia yetu njema kwa akina dada inaharibiwa na mizinga isiyo na maana.
Kuhudumia ni wajibu wetu lakini kuna muda unaona kabisa kwa staili hii hatuwezi kuyafikia malengo.
 
Naona umekaa kitaalamu mzee
 
Ukiona mwanamke kila week ukijumlisha mizinga anayokupiga inafika laki moja huyo kaa naye mbali, mbaya zaidi ww ukikwama ukimuomba hela hakupi hata sent tano, utasikia hela sina nimetumia hiki na kile bas kaa naye mbali kabisa kabisa huyo
 
Kugundua tatizo mapema, inasaidia kujihami
 
Me pia wiki 2 tu nakua nimekujua ww ni mtu wa aina gn na ninakupiga chini fasta bila kufikiria mara 2..

Kuna dada mmoja nilimkaushiaga ghafla mpka akahisi nina majini maana alikua anauliza kwa watu ninaofahamiana kuhusu mimi nipoje.

Nilipogundua tu ndo tabia yake sikumwambia chochte nilimpotezea na baada ya mwezi alijiongeza tu kuwa nishampiga chini mana sim zake na sms zake nilikua nazipotezea tu
 
Pale mtoa ushauri anaposhindwa kuzingatia ushauri wake na kupigwa na kitu kizito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…