Usitongoze mwanamke, fanya hivi utakuja kunishukuru

Usitongoze mwanamke, fanya hivi utakuja kunishukuru

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Kutongoza ni kupoteza muda na kutumia nguvu bila sababu za msingi, mimi nikiona mwanamke mzuri namwita kwa heshima, namwambia umependeza, unamwonekano mzuri utasikia Asante, hapo naingia mfukoni nampa hata elfu 50 na business card.

Kati ya mabinti 13 niliofanya hivi nimetembea na 11.

Mkono mtupu Haulambwi.
 
We unanunua nyapu kwa 50 hapo bado ujweka nauli kula na kadhalika aisee hongera mkuu kwakuwa na pesa isiyokuuwa na matumizi
 
Back
Top Bottom