Usitongoze mwanamke, fanya hivi utakuja kunishukuru

Usitongoze mwanamke, fanya hivi utakuja kunishukuru

Kweli Pesa kwa wengine imekosa matumizi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kutongoza ni kupoteza muda na kutumia nguvu bila sababu za msingi, mimi nikiona mwanamke mzuri namwita kwa heshima, namwambia umependeza, unamwonekano mzuri utasikia Asante, hapo naingia mfukoni nampa hata elfu 50 na business card.

Kati ya mabinti 13 niliofanya hivi nimetembea na 11.

Mkono mtupu Haulambwi.
13 mara 50,000 = 650,000 yaani hii ungempatia mzazi wako MUNGU angekubariki sana.

Sasa subiria malipo yako toka kwa shetani kwa huo uasherati umefanya.
 
Mawazo ya kimasikini haya, haya ni matumizi ya hela pia...
Bwana wee, mtu anasema oh jamaa anatumia hela kula malaya au kuhonga mbususu. Jamani sii starehe yake. Mbona watu wanaenda samaki wanamwaga million kwenye pombe au mtu anaenda ramada analipa buku 70 kwa buffet. Kila mtu na starehe yake bwana.
 
Kweli Pesa kwa wengine imekosa matumizi [emoji23][emoji23][emoji23]
Pesa ndio matumizi yake namba moja hayo, kula mbususu. Mihangaiko yote ya mwanaume lengo ni moja tuu, kile kitobo basi. Utataka watoto basi kile kitobo kinahusika. Ili kupata kile kitobo lazima ukawapoze wazee wa mmiliki kitobo. So bottom line ni kwamba matumizi makubwa ya oesa ni kupata utelezi
 
Back
Top Bottom