Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Yaan barabarani tu unatoa 50,000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mimi nikimnunulia demu supu na bia mbili bac roho inaniuma wiki nzima.
Kwahiyo ulipoteza 13 x 50,000/= kisa mbususu.
Kutongoza ni kupoteza muda na kutumia nguvu bila sababu za msingi, mimi nikiona mwanamke mzuri namwita kwa heshima, namwambia umependeza, unamwonekano mzuri utasikia Asante, hapo naingia mfukoni nampa hata elfu 50 na business card.
Kati ya mabinti 13 niliofanya hivi nimetembea na 11.
Mkono mtupu Haulambwi.
Mwanamke mwenye kujielewa humpati kwa mtego huo.Sasa kama huna gari utambeba wapi akikubali? Nimezungumza hivyo nikimaanisha hiyo 50 ni zawadi tu ya kuambatanisha kwenye salamu.
Kuna siku niliweka status ya gari kwenye whtsap status yangu,Kweli bwana gari ndio kila kitu....maana kwa hii bodaboda tuu nawala hivi je ukiwa na range rover sii utakuwa unawakwepa
Ukiwa na hela wala hutoi hela, wanavutiwa na wewe automatically!Kutongoza ni kupoteza muda na kutumia nguvu bila sababu za msingi, mimi nikiona mwanamke mzuri namwita kwa heshima, namwambia umependeza, unamwonekano mzuri utasikia Asante, hapo naingia mfukoni nampa hata elfu 50 na business card.
Kati ya mabinti 13 niliofanya hivi nimetembea na 11.
Mkono mtupu Haulambwi.
Kumbe ndio ujanja wenyewe...ngoja nikipata tu ndalama nitanunua na kuweka status alafu nione inakuwaje. Nitaleta mrejeshoKuna siku niliweka status ya gari kwenye whtsap status yangu,
Nikaandika .
ALHAMDULILAH.
nilipata simu za kuomba kuonana na kuwapa offer kutoka kwa warembo kadhaa.
Hakika gari ndy uchawi wa mwanamke,
Na ukiwa na gari hutumii nguvu nyingi kuwagegeda wanawake.
ukiwa na pesa bila gari utatumia nguvu nyingi Sana.
Pesa zikiisha, itakuwaje?Tafuta pesa na uishi maisha mazuri, uwe ke au me lazima utapata mwenza.
Tafuta hela mkuu, acha kulalamika mtoto wa kiume.50,000×13= 650,000/= Bado hujamnunulia chipsi kuku, nauli, lodge😏
Tupe hesabu zako za kwa mwaka unatumia sh. Ngapi kununua dada poa
At the same time kama unafamilia unakuta ndani Kuna kilo 5 za Michele in short stoo haisomeki.
Mdogo wako anekufatia Hana mbele Wala nyuma hata mtaji wa biashara Hana😏 (basi utajifanya last born🤣)
Alafu unakuta nyumbani kwao Kule kwa baba na mama hakuna hata tiles na Wanalima small scale agriculture.
Maisha mengine ni ubatili mtupu sura ikikushuka unaanza jiona ulivyo nyani wahedi.
Badili Uzi toa mwanamke andika dada poa.
Nipo lunch eeeh nawasubiri wale wa tafuta Hela, Hela my foot
Bila shaka umepita na Irene pia😂Bana gari pia Ni uchawi
Namkumbuka nikiwa mji wa sumbawanga nilikuwa natumia gari ya ofc mji mzima ule. Hauna mademu wakali San ila wale wachache nimewachakata sna kwa kutumia hyo wakijuwa jamaa anazo pesa bas kumbe nalipwa laki sita tu
Nilimchakta demu mkali San
Ha ha ha alafu watu wa JF ukiwa negative Tu kajicomment kanakuja eti tafuta Hela, alafu unaemwambia atafute Hela Sasa ha ha ha!!Tafuta hela mkuu, acha kulalamika mtoto wa kiume
Kwahiyo ulipoteza 13 x 50,000/= kisa mbususu.
Fresh tu mbonaKwahiyo ulipoteza 13 x 50,000/= kisa mbususu.
[emoji38]Kwahiyo ulipoteza 13 x 50,000/= kisa mbususu.