Kutongoza ni kupoteza muda na kutumia nguvu bila sababu za msingi, mimi nikiona mwanamke mzuri namwita kwa heshima, namwambia umependeza, unamwonekano mzuri utasikia Asante, hapo naingia mfukoni nampa hata elfu 50 na business card.
Kati ya mabinti 13 niliofanya hivi nimetembea na 11.
Mkono mtupu Haulambwi.
Mkuu labda unachukuwa wanawake matakataka,,
Ukikuta mwanamke mwenye utimamu wa akili na maadili humpati ng'ooo.
Kuna rafiki yangu alilipa bill ya mrembo ShopRite mlimani city,
Jamaa alilipa 250,000 hivi bill ya shopping..
Kwa style kama hiyo ya kuchukuwa namba za simu za mrembo..
Tulikutana na mrembo yule kwenye foleni ya kulipa.
Jamaa akamsifia Sana mrembo,
Akamuomba cashier achanganye bill pamoja na yake..
Baada ya malipo jamaa aliomba namba,
Akapewa kwabinde Sana,,
Baada ya siku kadhaa jamaa alipoona hatafutwi,
jamaa akampigia yule mrembo simu,
Imepita miezi kadhaa sasa mrembo hapokei simu hadi leo..
Ukisema uchawi wa mwanamke ni gari hapo 80% nakubaliana na wewe..
Wanaume wenye magari walio wengi wanabebwa na magari yao lakini hawana mbinu zozote mbadala..
Wanawake wengi ni malimbukeni wa magari,
akikutana mwanamke ambaye siyo limbukeni wa gari anapata shida Sana kumpata.,
Mwanamke akiona gari ni Sawa na mbwa na chatu.