Usitumie hela nyingi kupata Ngono

Usitumie hela nyingi kupata Ngono

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Habari zenu wakuu.

Nimekuwa naona nyuzi tofauti za Wanaume wenzangu wakijisifu kula wanawake fulani huku ndoano yao kubwa kuwavuta hao wanawake ni Pesa. Nikaona kuna wanaume wengine wanasema alitenga 100k, mwengine 200k, mwengine 700k n.k

NIKACHEKA SANA! [emoji23]

Wakuu kwa Dunia yasasa Ngono haipaswi kugharamiwa kiasi hicho HUO NI UZWAZWA

Yani unahangaika kutafuta hela kwa tabu halafu unakuja kununua penzi kwa Laki mbili? HUO NI UZWAZWA

Malaya hapaswi kula hela yako kiasi hicho, Toa pesa wape wazazi, wahitaji n.k na sio kula Malaya ambae unatumia kinga kumlala, anakuachia Laana na hana anachojali kuhusu wewe.

NB: MALAYA WANAPASWA KUISHI KWENYE UMASIKINI, USIWAPE PESA ZAKO KUBADILISHA MAISHA YAO.
 
Duuh mkuu kama unanifungua macho kutoka kwenye huu ujinga!!
ASANTE SANA
 
MALAYA WANAPASWA KUISHI KWENYE UMASIKINI, USIWAPE PESA ZAKO KUBADILISHA MAISHA YAO.

Zingatia sana hayo maneno [emoji115]
Naunga mkono hoja bei elekezi ni 3000-20000 tena huyu wa 20000 hakikisha mfukoni una million 2 za kwako
MALAYA WANAPASWA KUISHI KWENYE UMASIKINI, USIWAPE PESA ZAKO KUBADILISHA MAISHA YAO.

Zingatia hayo maneno Mkuu [emoji115]
 
Habari zenu wakuu.

Nimekuwa naona nyuzi tofauti za Wanaume wenzangu wakijisifu kula wanawake fulani huku ndoano yao kubwa kuwavuta hao wanawake ni Pesa. Nikaona kuna wanaume wengine wanasema alitenga 100k, mwengine 200k, mwengine 700k n.k

NIKACHEKA SANA! [emoji23]

Wakuu kwa Dunia yasasa Ngono haipaswi kugharamiwa kiasi hicho HUO NI UZWAZWA

Yani unahangaika kutafuta hela kwa tabu halafu unakuja kununua penzi kwa Laki mbili? HUO NI UZWAZWA

Malaya hapaswi kula hela yako kiasi hicho, Toa pesa wape wazazi, wahitaji n.k na sio kula Malaya ambae unatumia kinga kumlala, anakuachia Laana na hana anachojali kuhusu wewe.

NB: MALAYA WANAPASWA KUISHI KWENYE UMASIKINI, USIWAPE PESA ZAKO KUBADILISHA MAISHA YAO.
Bitter truth😀😀mkuu upo sahihi sana umeongea ukweli ambao wengi hatupendi kuhusikia,ila kwa bongo vijana tunapotea sana kuanzia watu WA kawaida Hadi celebrities ,unakuta mtu anajisifu kuonga gari ili kupata demu kitu ambacho ni uboya mtupu,Kuna jamaa Twitter mi mwenyewe nilimuona boya eti kalala na demu kwa malipo ya tsh 60,000 na yeye akawa anajisifu ila kwa wajanja wakawa wanamuona ana expose uboya alio nao ,demu unalalaje naye kwa 60k wakati wahuni wanapiga BURE au kwa 20k au vinywaji tu,vijana tubadilike kuwa na financial freedom Raha sana , tofauti na Kutumia pesa vibaya kwa vitu visivyo na msingi mwisho WA siku majuto na umasikini unatukumba na tunaanza kutia huruma kwa vitu tunavyojisababishia wenyewe
 
MALAYA WANAPASWA KUISHI KWENYE UMASIKINI, USIWAPE PESA ZAKO KUBADILISHA MAISHA YAO.

Zingatia sana hayo maneno [emoji115]
Mkuu nikiangalia unachosrma ni kweli na kuanzia leo bora nimuonge mke wangu kuliko kahaba.Sababu kuna laana katika kuhonga makahaba
Lakini uraibu mkubwa kuliko madawa ya kulevya na pombe
 
MALAYA WANAPASWA KUISHI KWENYE UMASIKINI, USIWAPE PESA ZAKO KUBADILISHA MAISHA YAO
Mzee mbona una roho ya kishetani hivi?

Hio dhana ya kusema malaya anapaswa kuishi kweny umaskini ni roho mbaya mzee, nayeye ni binadamu kama binadamu wengine, nayeye anatamani kufanikiwa kama ww tuu, kama una mafanikio mshukuru mungu na sio kuwatamkia wengine maneno kama hayo.

Mi nadhani nao ni watu wanaotafuta riziki kama watu wengine, usikute wana watoto nyumbani, wengine wanasomesha, sio kila malaya unaekutana nae anafanya vile kwa sababu ya tamaa tuu za hela, watu wana shida mzee, yeye mwenyew hajapenda kuuza mwili wake, sema tuu kaishiwa options.
 
Matumizi ya pesa ni ya mtu binafsi, kama mtoa uzi umelingundua hilo, basi hio ni silaha ya mafanikio yako. Tunza sana hio siri wasiyoijua wengi, itakufikisha mbali. Hakikisha kwnye kipato chako hutumii zaidi ya 40% na 60% inayobaki hakikisha unaiwekeza ilite pesa ingine, hakika utafika mbali. Mimi kumpa mwanamke pesa yangu ni hadi awe amefanya kitu cha maana sana kwangu.

Wanatupa utelezi tunawapa pesa ni upuuzi kama wa mababu zetu kuwapa wazungu dhahabu na wao kupewa shanga na vioo. Nonsense
 
Back
Top Bottom