Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,058
- 14,382
Habari zenu wakuu.
Nimekuwa naona nyuzi tofauti za Wanaume wenzangu wakijisifu kula wanawake fulani huku ndoano yao kubwa kuwavuta hao wanawake ni Pesa. Nikaona kuna wanaume wengine wanasema alitenga 100k, mwengine 200k, mwengine 700k n.k
NIKACHEKA SANA! [emoji23]
Wakuu kwa Dunia yasasa Ngono haipaswi kugharamiwa kiasi hicho HUO NI UZWAZWA
Yani unahangaika kutafuta hela kwa tabu halafu unakuja kununua penzi kwa Laki mbili? HUO NI UZWAZWA
Malaya hapaswi kula hela yako kiasi hicho, Toa pesa wape wazazi, wahitaji n.k na sio kula Malaya ambae unatumia kinga kumlala, anakuachia Laana na hana anachojali kuhusu wewe.
NB: MALAYA WANAPASWA KUISHI KWENYE UMASIKINI, USIWAPE PESA ZAKO KUBADILISHA MAISHA YAO.