Shanily
JF-Expert Member
- Nov 4, 2024
- 856
- 1,662
Kbsaa ila ngoja tuendelee kumuhoji muhusika aliyewekwa kwenye hadithi.😊☺️😊 Uzi mtamu Sanaa usimuliaji wa fanani ni above average.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kbsaa ila ngoja tuendelee kumuhoji muhusika aliyewekwa kwenye hadithi.😊☺️😊 Uzi mtamu Sanaa usimuliaji wa fanani ni above average.
Oohh!! Mwanamke mvumilivu, mnyenyekevu anakukondeshaje!?.mgogoro kabla yakuachana ulikuwa wa muda!
Ni tofauti karungu yeye ni mkubwa na ana miiba kiasi inaweza kufyatuka Kama mshale ila nungunungu yeye anamiba midogo midogo na mdogo mdogo tu kwa umbomkuu hivi karungu yeye ndio nungunungu..?🤣
Tuone Kama at defend kwenye panelKbsaa ila ngoja tuendelee kumuhoji muhusika aliyewekwa kwenye hadithi.
Sabuni ya rohoHakunaga mbinu kama wewe wa kukataliwa utakataliwa tu pesa solution tosha endeleeni na mbinu
Ni tofauti karungu yeye ni mkubwa na ana miiba kiasi inaweza kufyatuka Kama mshale ila nungunungu yeye anamiba midogo midogo na mdogo mdogo tu kwa umbo
Wazee hatutaki mambomengi unakaa na mastress ya mtoto wa mtu mwingine yote ya nini kula lipa tembeaduh!
huu mjadala wa karungu yeye na nungunungu naomba ufe mnanikumbusha machungu wakuu mnataka niangue kilio hapa..?
Miaka mingi alaf si unajua tumetoka mkoa zamani tupo dar es salaam huku dar hao viumbe sijawai ona kabisaa..Mbona vaisivesa mkuu ni kama sifa ya karungu yeye ni ya nungunungu
SikupingiChai na maparachichi
View attachment 3173108