Usitumie hii mbinu kwenye mapenzi utakuja kufa!

Hakuna mtoto wa kike mrembo mjini asiye na wanaume angalau watatu kwa makadirio ya chini
 
Mapenzi sio kitu Cha lazima Fanya mambo mengine ya msingi tu master
 
Ila kiumbe anayeitwa mwanamke anaongea sana mi niliwahi kuishi na mwanamke miaka 5 nilivyomuacha baada ya kukuta sms a bwana wake mwingine akawa anasema nilikua napiga kimoja🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Kha kwa hiyo wee ulikuwa kama mie kimoko chali 🀣🀣🀣🀣
Anyways wanaume wote hatuwezi kuwa mafundi katika kugegeda mbususu.
 
Nimecheka kama mazuriπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…. Pole bana husband
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…