Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
- Thread starter
-
- #21
Kwa ivo hakuna suluhisho?Upige, Usipige bado Kodi zako zinahalalisha maigizo na sio mwaka huu tu bali tangia kitambo (tofauti ni kwamba Anayedanganywa anajua anadanganywa)
Suluhisho kwanza ni kufahamu tunataka nini..., Sababu hii Demokrasia ya Kuchaguliwa na wachache (wajumbe / vyama n.k.) wa kutuamulia na sio sisi kuamua na wala hatuna jinsi ya kuwawajibisha zaidi ya kusubiri miaka mitano nadhani SIO nguvu ya UMMA bali ni Oligarchy.., (He who Nominates.., Chooses)Kwa ivo hakuna suluhisho?
OCTOBER KWA UMOJA WETU TWENDENI TUKA ✔️ TUACHANE WALIOJICHOKEA KIAKILI?😄
Sheeenziii taipuuu!!!! Hatuendi kupiga kuraUJINGA ZIGO LA MAVI.
================
Viongozi wetu ngazi ya kitaifa wanajiandaa kwenda kuchukuwa form leo hii.
WAHUNI..Ni mpumbavu amechoka kukaa uraiani
Wananchi wameshasema hawatikiMchambuzi wa masuala ya kisiasa,uchumi na kijamii, Onesmo Mushi, amewasihi watanzania kutoshiriki kupiga kura kwenye uchaguzi wa mwaka huu kwani itakuwa kama ni kuhalalisha upumbavu.
Mchambuzi huyo ameonesha kuwa tangu turejee kwenye mfumo wa vyama vingi vya siasa, wagombea wa Urais Kwa mwaka huu ni wa viwango vya chini haijawahi kutokea.
Mushi amesema chaguzi zilizopita wagombea Urais walikuwa ni kiashiria cha nchi kuwa makini kwenye kutafuta viongozi wake.
Mushi ametolea mfano jinsi Mwaka 1995 kulivyokuwa na ushindani mkubwa kati ya mgombea wa CCM wakati huo Benjamin William Mkapa na Augustine Lyatonga Mrema.
Mushi pia amekumbusha jinsi Mwaka 2000 Benjamin William Mkapa alivyotoana jasho na Ibrahim Haruna Lipumba, kwenye uchaguzi uliokuwa una ushindani mkubwa.
Ametolea pia mfano wa Jakaya Mrisho Kikwete na Freeman Aikaeli Mbowe, Jakaya Kikwete dhidi ya Willbroad Peter Slaa, na John Pombe Magufuli dhidi ya Edward Nyoyai Lowassa na John Magufuli dhidi ya Tundu Antipas Lissu.
Kwa mtazamo wake wagombea wa Urais mwaka huu, wanatoa taswira yenye tafsiri kuwa kama Taifa hatupo makini (Serious) kwenye kutafuta viongozi wetu.
Video.
👇
View attachment 3436436
Utajipumzikia tu nyumbani,hakuna shida yoyote,kura zitapigwa na itasaidia hata urahisi wa kuhesabu makura mengi yasiyo na maana yoyote ya watu ambao wana imani za NEGATIVITY.⚔️Sheeenziii taipuuu!!!! Hatuendi kupiga kura
Kabisa... Na mchezo wao tumehaustukia!Wananchi wameshasema hawatiki
Hii ndiyo alama halisi ya kwenu. Mioyoni yenu imejaa mapanga na majamvia...
If Crocodiletooth looks like a duck, swims like a duck, and quacks like a duck, then Crocodiletooth must be a duck (QED)Mm,sio wa kununuliwa kwa kulipwa tusenti.
CHADEMA haidhani yenyewe tu ndiyo chama cha siasa (siyo chama cha upinzani) bali kinapigania haki yake ya kuwa chama cha siasa.Shida kubwa ya Chadema ni kudhani wao tu ndio wana haki ya kuwa chama za upinzani wengine wote hawafai. Nyinyi mkisusia wengine wanakula.
Hakuna maajabu😆😀😄Amesha chukuwa form.View attachment 3436551
OLE WAKE POLISI ATAKAAYEJIFANYA KUIBA KURAOLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
NO REFORMS NO ELECTION