Usitumie nguvu nyingi kumuaminisha mtu kuwa unampenda

Tupe full story,akamuita mzazi mwenzie!
 
 
Tunajifunza kupitia makosa, ila sio Vizuri Kujifunza kupitia makosa, Mimi mpaka nimeamua kuandika hili Jambo limenikuta Mimi, na sitaki kijana au mwanaume yeyote limkute hili ambalo Mimi, limeshanikuta.
Pole mkuu,ila atakuja kukumbuka sana,hiyo ni Lazima na ukashangaa unamsamehe na Wewe,ukaingia tamaa ukampa mimba kwa hasira!
 
Pole mkuu,ila atakuja kukumbuka sana,hiyo ni Lazima na ukashangaa unamsamehe na Wewe,ukaingia tamaa ukampa mimba kwa hasira!
Hapana, mzeee hilo Jambo haliwezekani, kaka Pesa sio nzuri ktk Maisha kama mtu ana upendo wa Dhati na wewe, Malengo na nilichofanya kwake sio kwa ajiri ya pesa Bali ni Upendo, niliacha kuingiza hiyo pesa ktk Biashara nikamjenga yeye waza, sikuwaza Faida ila niliwaza Upendo.
 
yaani niliposoma watoto watatu basi sijaendelea,hivi unawezaje kudate na single mama wa watoto watatu unadhani waliomwacha walikua wajinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…