Usiuze kwanza Subiri Mji Ukue hapo pakishachangamka patakulipa sana

Acha mind set za kijinga. Eneo kama hauna pesa za kuendeleza piga bei. Bibi yetu alikuwa anakazia Sana kuuza eneo lake mitaa ya fire hapo posta. Kafa tumepiga bei sasahivi mama zangu wote ni tripu za Dubai Tu wanapiga biashara wakati walikuwa wanauza vitumbua Tu hapo kwa Bibi. So huyo jamaa avute hiyo mil800. Atafute cha kufanya maisha ni mafupi Sana. Atakufa watoto watauza Tu.
 
SASA wao walikuwa na uwezo WA kujenga kituo cha mafuta? Kama hawakuwa na uwezo huo SASA wanajilaumu nini?
 
SASA wao walikuwa na uwezo WA kujenga kituo cha mafuta? Kama hawakuwa na uwezo huo SASA wanajilaumu nini?
Sasa hivi wamejipata wangeweka Sheli wao wenyewe ingewalipa, shida kukosa focus ya kuona mbali
 
Sio kweli ingawa una point mkuu,
 
Kasikilize vizuri Ngoma inaitwa dunia tunapita. Sikia kama unashida uza eneo update pesa. Usiuze kama hauna mipango thabiti. Tunanunua maeneo ili yatufae kipindi cha dhiki so punguza ushauri.
 
Sio kweli ingawa una point mkuu,
Sorry labda nilitumia lugha isiyo ya kistaarabu. Lakini kuuza eneo sio vibaya ubaya unakuja kama hauna plan kaka. Kuna muda hamna namna kimffacho mtu chake utauza tu that's life
 
Sorry labda nilitumia lugha isiyo ya kistaarabu. Lakini kuuza eneo sio vibaya ubaya unakuja kama hauna plan kaka. Kuna muda hamna namna kimffacho mtu chake utauza tu that's life
Najua ndio hata mimi nimewahi kuuza vitu nilipokua napitia msoto ila nilifundishwa nisiwe na hio tabia maana najitengenezea umasikini kwa hio sina hio tabia tena in short hata niweje siuzi mali kubwa, kipindi kigumu kitapita tu
 
Good for you, ni some zuri lakini haimaanishi wanauza wanakosea. Inabidi sehemu ziuzwe ili ziendelee. Japo sio vibaya pia kukaza msuli.
 
Kama huna mtaji wa kuendeleza eneo hata uwe nalo heka 100 bado ni kazi bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…