Usiwaamini sana marafiki wa ukubwani na ambao mmepotezana kipindi kirefu kisha kukutana tena

Usiwaamini sana marafiki wa ukubwani na ambao mmepotezana kipindi kirefu kisha kukutana tena

Alichagua kuchukua kiasi tu na sio pesa yote ili nisigundue na kunihurumia Kwa sababu tunafanya kazi inayofanana,na alikuwa anajua Nina kiasi icho kwenye bag kupitia story story zetu,angekuwa mtu mwingine angechukua pesa zote,na vyumba vyetu vilikuwa vinatazamana na nilitoka Kwa muda WA nusu chumbani kwangu Kwa muda WA nusu saa na nilisahau kufunga mlango nahisi alikuja kunicheck na hakunikuta ivyo akapata kishawishi cha kufungua bag langu maana baada ya kuchukua pesa alirudishia zingine kama alivyozikuta na aliogopa kuchukua zote maana ningegundua mapema na kama angekuwa mwizi aliyetoka mbali angechukua zote na kutokomea , maana ilo eneo tulikuwa watu watatu tu mimi,mhudumu WA lodge na uyo jamaa yangu na baada ya mhudumu kutupa room tu hakuwa na access ya kuingia tena


Baada ya mhudumu kutupa funguo hakuna na access tena, ila umeacha mlango wazi kwa nusu saa, hakika unamwonea jamaa, na huyo Mhudumu anaamini kabisa utamuwaza jamaa, ndo ujasiri alionao.
 
Ok, usikute kweli aisee ila eneo ilo tulikuwa watatu tu yeye,mimi na mhudumu WA iyo lodge,na naamini ni ngumu mhudumu kufanya wizi smart kama huo

Hakuna smart wowote kwenye huo wizi.
 
Watu wengine,wana akili sijui zikoje. Lodge nzima,mwizi ni mshikaji wako! We mwenyewe hujitambui. Ulikaa nae chumba kimoja ndo umtuhumu? Ulimuachia ufunguo akaingia? Kama hujafunga,unaanzaje kumlaumu! Bora aliekuibia angechukua zote.
 
Back
Top Bottom