Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikuwa mshamba ndio umetoka bush sio?Una uhakika gani ni yeye? Yeye katoa wapi ufunguo?
Nishawahi kuibiwa hela ile hotel iko nyuma ya Msamvu bus station ‘Morogoro, ni zamani mpk nimepasahau jina. BTW ilikuwa tu ndogo,, nina hakika ilichukuliwa na mfanya usafi.
Maana nilimpisha, nikashuka chini kwenda kwenye chai. Kuja kurudi hazipo kama nilivyokuwa nimeacha.
Mi uwa siwaachiii wahudumu funguo😀 nilisahau kufunga mlango nikaenda nje kukaa kupunga upepo uku nimemwacha mhudumu chumba chake na umo umo lodge na Rafiki yangu alikuwa room kwake vyumba vyetu milango ilikuwa inatazamanaUna uhakika gani ni yeye? Yeye katoa wapi ufunguo?
Nishawahi kuibiwa hela ile hotel iko nyuma ya Msamvu bus station ‘Morogoro, ni zamani mpk nimepasahau jina. BTW ilikuwa tu ndogo,, nina hakika ilichukuliwa na mfanya usafi.
Maana nilimpisha, nikashuka chini kwenda kwenye chai. Kuja kurudi hazipo kama nilivyokuwa nimeacha.
Probably.Ulikuwa mshamba ndio umetoka bush sio?
Unaachaje valuables hotelini/lodge unatoka? Hata ukisema unafunga unaenda na funguo hao wanakuwaga na spare keys.
Wakati wa usafi je?Mi uwa siwaachiii wahudumu funguo😀 nilisahau kufunga mlango nikaenda nje kukaa kupunga upepo uku nimemwacha mhudumu chumba chake na umo umo lodge na Rafiki yangu alikuwa room kwake vyumba vyetu milango ilikuwa inatazamana
Una uhakika gani ni yeye? Yeye katoa wapi ufunguo?
Nishawahi kuibiwa hela ile hotel iko nyuma ya Msamvu bus station ‘Morogoro, ni zamani mpk nimepasahau jina. BTW ilikuwa tu ndogo,, nina hakika ilichukuliwa na mfanya usafi.
Maana nilimpisha, nikashuka chini kwenda kwenye chai. Kuja kurudi hazipo kama nilivyokuwa nimeacha.
Sasa na wewe una uhakika ni mfanya usafi alikuibia?
Maana pia hilo swali umemuuliza mtoa mada!
Siwezi kumwamini mwanaume anaetembea na pochiNina bahati pesa nyingine nilikuwa natembea nazo kwenye pochi mfukoni na nina bahati mwizi aliamua kunihurumia.
Kati ya sehemu hatari Kwa wizi mdogo mdogo na wasichana wahuni wapanga njama za wizi basi ni Moro ,Kuna siku ntawapa mkasa WA Jack malaya WA Kaumba Moro alivyonipiga na kitu kizito😀Yes. Sababu nilimpisha yeye tu. Na kwenye BF sikukaa muda mrefu nikarudi room.
Kwasababu pochi ni mikoba ya wanawakeWhy?
Maana kuna jamaa ni mfanyakazi mwenzangu nimekuwa na urafiki naye wakikazi kwa muda wa miezi mitano ila sijawahi kukaa naye sehemu hata moja kula naye bata, ila juzi tukiwa kwenye kikao cha kazini tukaenda kupanga lodge moja kila mtu room yake sema zinaangaliana milango.
Sasa mimi nilimwamini sana, kumbe wakati natoka kwenda nje jamaa alizama room kwangu na kuingia kwenye bag langu ambapo kulikuwa na Tsh 300,000 nakuiba 80,000, na nilijua kesho yake baada ya kuzihesabu pesa na kukuta zipo 220,000 badala ya 300,000 nikajua ni jamaa tu, tena nina bahati hakuamua kuniibia pesa zote yaani aliingia kwenye bag na kuzichambua vizuri na kuzirudishia kama alivyozikuta.
Nina bahati pesa nyingine nilikuwa natembea nazo kwenye pochi mfukoni na nina bahati mwizi aliamua kunihurumia.
Kiukweli hilo suala limenifanya kupunguza mazoea ya karibu sana na watu tunaokutana tu bila kuwajua vizuri na kwa mazingira ninayoishi sitokubali kupeleka mwanamke au mshikaji kushinda ghetto kwangu la sivyo natakiwa kuwa makini sana.