Usiwaamini sana marafiki wa ukubwani na ambao mmepotezana kipindi kirefu kisha kukutana tena

Usiwaamini sana marafiki wa ukubwani na ambao mmepotezana kipindi kirefu kisha kukutana tena

Una uhakika gani ni yeye? Yeye katoa wapi ufunguo?

Nishawahi kuibiwa hela ile hotel iko nyuma ya Msamvu bus station ‘Morogoro, ni zamani mpk nimepasahau jina. BTW ilikuwa tu ndogo,, nina hakika ilichukuliwa na mfanya usafi.

Maana nilimpisha, nikashuka chini kwenda kwenye chai. Kuja kurudi hazipo kama nilivyokuwa nimeacha.
Ulikuwa mshamba ndio umetoka bush sio?

Unaachaje valuables hotelini/lodge unatoka? Hata ukisema unafunga unaenda na funguo hao wanakuwaga na spare keys.
 
Mi uwa siwaachiii wahudumu funguo😀 nilisahau kufunga mlango nikaenda nje kukaa kupunga upepo uku nimemwacha mhudumu chumba chake na umo umo lodge na Rafiki yangu alikuwa room kwake vyumba vyetu milango ilikuwa inatazamana
 
Ulikuwa mshamba ndio umetoka bush sio?

Unaachaje valuables hotelini/lodge unatoka? Hata ukisema unafunga unaenda na funguo hao wanakuwaga na spare keys.
Mkuu usimwite mshamba ni kujisahau tu na kuwaamini sana watu
 
Mi uwa siwaachiii wahudumu funguo😀 nilisahau kufunga mlango nikaenda nje kukaa kupunga upepo uku nimemwacha mhudumu chumba chake na umo umo lodge na Rafiki yangu alikuwa room kwake vyumba vyetu milango ilikuwa inatazamana
Wakati wa usafi je?
 
Una uhakika gani ni yeye? Yeye katoa wapi ufunguo?

Nishawahi kuibiwa hela ile hotel iko nyuma ya Msamvu bus station ‘Morogoro, ni zamani mpk nimepasahau jina. BTW ilikuwa tu ndogo,, nina hakika ilichukuliwa na mfanya usafi.

Maana nilimpisha, nikashuka chini kwenda kwenye chai. Kuja kurudi hazipo kama nilivyokuwa nimeacha.

Sasa na wewe una uhakika ni mfanya usafi alikuibia?

Maana pia hilo swali umemuuliza mtoa mada!
 
Wakati wa usafi je?
Usafi gani WA kila siku zaidi ya kuomba kubadilishiwa shuka tu,sema nimejifunza sana kupitia ilo tukio na zaidi ni kutotembea na pesa cash nyingi na pili kutowaamini sana watu na kuwa makini nao
 
Yes. Sababu nilimpisha yeye tu. Na kwenye BF sikukaa muda mrefu nikarudi room.
Kati ya sehemu hatari Kwa wizi mdogo mdogo na wasichana wahuni wapanga njama za wizi basi ni Moro ,Kuna siku ntawapa mkasa WA Jack malaya WA Kaumba Moro alivyonipiga na kitu kizito😀
 
Maana kuna jamaa ni mfanyakazi mwenzangu nimekuwa na urafiki naye wakikazi kwa muda wa miezi mitano ila sijawahi kukaa naye sehemu hata moja kula naye bata, ila juzi tukiwa kwenye kikao cha kazini tukaenda kupanga lodge moja kila mtu room yake sema zinaangaliana milango.

Sasa mimi nilimwamini sana, kumbe wakati natoka kwenda nje jamaa alizama room kwangu na kuingia kwenye bag langu ambapo kulikuwa na Tsh 300,000 nakuiba 80,000, na nilijua kesho yake baada ya kuzihesabu pesa na kukuta zipo 220,000 badala ya 300,000 nikajua ni jamaa tu, tena nina bahati hakuamua kuniibia pesa zote yaani aliingia kwenye bag na kuzichambua vizuri na kuzirudishia kama alivyozikuta.

Nina bahati pesa nyingine nilikuwa natembea nazo kwenye pochi mfukoni na nina bahati mwizi aliamua kunihurumia.

Kiukweli hilo suala limenifanya kupunguza mazoea ya karibu sana na watu tunaokutana tu bila kuwajua vizuri na kwa mazingira ninayoishi sitokubali kupeleka mwanamke au mshikaji kushinda ghetto kwangu la sivyo natakiwa kuwa makini sana.

Nimewahi amini mtu fulani alinifanyia ubaya, kila kitu cha kimazingira kina mpoint yeye na ushahidi( mara nyingi zaidi ya hii yako). Jamaa wa watu nikakomaa maana mpaka ali sign, nikamnyima $1500 yake.

Baada ya miaka mingi, Dada ambaye ndo alisema alimpa huyo jamaa $1500 kumbe ni uongo, alikuja akanambia mimi ndo nilizingua, nisamehe, na akarejesha zile hela.

Nikamtafuta jamaa na kumwomba sana msamaha, mpaka leo sitaweka dhana pasi na ushahidi wa moja kwa moja katika haya mambo, kama huna ushahidi, mwache jama wa watu na wala usimuwaze vibaya.
 
Back
Top Bottom