Habarini za weeknd wana JF
Mimi swali langu ni moja tu kuna uhusiano gani kati ya unywaji pombe na umalaya au uchepukaji wa wanawake walio kwenye mahusiano ?
Yaani kama demu wako au mke wako anatumia pombe umeliwa mkuu we jua tu unagongewa vya kutosha wahuni wanamuinamisha vya kutosha niamini mimi
Mwanamke yeyote anayetumia pombe hadi kulewa kujikojolea au ku seize hana aibu kabisa anaweza hata kukutongoza mchana kweupe au kupitia mshkaji wako wa karibu mi huu ushenzi nimeshuhudia mara 3 wanawake wa bar, saloon na mama ntilie mmoja mlevi wa konyagi nilishangaa sana ila nilivyofanya uchunguzi nikagundua utumiaji wao wa pombe ndo unaweza kusababisha haya yote
Wengine unakuta anatembea na kinguo chepesi kama sketi fupi za kisasa au wengine madera akienda bar au club akinunuliwa bia mbili tatu unaenda kumuinamisha chooni unajipigia tu
Kama kuna mtu anajua uhusiano wa ulevi na nyege kwa wanawake aniambie asee maana jinsi wanavyoinamishwa ni huzuni sana
#Usiwe na mahusiano ya kudumu na mwanamke mlevi utanishukuru baadae #