Usiwe na mahusiano ya kudumu(malengo) na mwanamke mlevi (cha pombe) utanishukuru baadae

Soma uzi vizuri
Kubanjuliwa wanabanjuliwa sawa tu, wanywao na wasiokunywa.

Wanaisingizia pombe kua ndio sababu ya wao kubinuliwa ila ni tabia yao ni kama wewe unaewabinua si ajabu hukua umekunywa ila nyote mlibinuana.
 
Umewahi date na mlevi!? Kama bado jaribu uone
Mimi ni mdau mzuri wa kinywaji barikiwa.
Yaani binti mwenye tabia zake nzuri hawezi kunywa mpaka ashindwe kujielewa akabanjuliwa bila kujitambua.

Mkuu hiyo ni tabia ya mtu, pombe inakupa ile confidence tu ila sio ndio inakuelekeza ufanye kitu kipya maishani mwako.

Kuna siku nilienda kijiwe kipya kula vyombo, nikakutana na wadau hata hatujuani. Wote ni wanaume tena niliowakuta yalikua majabali kwelikweli ila kilaji kilivyokolea kuna njema moja kumbe ni punga, likaanza kuonesha signs zake pale, kwahiyo sio pombe iliyomfanya vile ila ile ni tabia yake imejidhihirisha baada ya kupata confidence kashindwa kujificha.
 
Hahaha sawa
 
Hiyo sio kwa mwanamke peke yake hata kwa mwanaume..mwanaume yoyote mnywa pombe lazima awe malaya kwa wanawake,, pombe inaendana na nyege...ndo maana kama wewe ni mlevi ni bora ukaoa mlevi mwenzio.
 
Mwanamke mlevi ni JANGA....

Utake usitake!
 
CHAPOMBE wa kike akishalewa chakari hatongozwi, ni kumshika mkono tu na kumuongoza kwenda machinjioni.

Chapombe akikolea anatinduliwa na yeyote, popote na muda wowote maana hana aibu!

Halafu pombe zikiisha kichwani hakumbuki chochote
"......halafu pombe zikiisha kichwani hakumbuki chochote" Ha ha ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…